Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

Ukishaanza ku negotiate maana yake umeikubali mahari ila unalia kwa umasikini wako wa kushindwa kulipa mahari fulani.

The entire concept of mahari is objectifying women.

Inawafanya wanawake wawe bidhaa inayouzwa kwa wanaume.

Sawa na ng'ombe

It should be scratched.
Mahari ni zawadi Tu Kwa mwanamke...na ndio maana ktk Uislamu mwanamke ndo anachagua mwenyewe...Ila huko kwengine ndio inakuwa biashara
 
Nakubaliana na wewe ktk swala la kuoa Imani tofauti...kutokana na mazingira yafuatayo...kama jamaa ameoa Tu Kwa ndoa ya kiislam kwakuwa haikuwa ghali..hapo kuna kosa kubwa kutoka Kwa wazazi WA binti...kwasababu ili uoe kiislamu lazima uwe muislamu,so kama kabakia na ukristo na kaoa Tu kiislamu hapo kuna tatizo...Ila kama muoaji kabadili Kwa hiari yake na kwakukusudia ni sawa
Ubarikiwe sana
 
Rafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano.

Muda wa kwenda kutoa mahari ulikuwa mwezi uliopita. Nilikuwa mmoja katika ujumbe uliyoongozana na rafiki yangu na matchmaker(mshenga) wake. Wakati wa kunegotiate mahari wazazi wakaanza na 15 million Ugandan ambayo ni kama milioni 9 ya Tanzania(walitaja idadi ya ng'ombe then ikawa converted to cash).

Tukakomaa wakashusha mpaka milioni kumi ya Uganda. Tutakomaa tana wakashusha mpaka milioni tano ya Uganda. Mwisho kabisa wakakomea shilingi milioni nne na point kadhaa ya Uganda ambayo ni sawa na milioni tatu ya Tanzania.

Hapo wakasema haipungui hata mia. Tukaomba tupewe muda tukatafakari kisha tutatoa taarifa ni lini tutarejea tena ukweni kukamilisha hiyo mahari. Kumbuka hapo tumefikia hotelini. Basi tulipoenda kujadiliana tukamuuliza muoaji kama bajeti yake ina mruhusu kulipa milioni tatu cash akasema no way out hawezi kulipa mahari yote hiyo.

Akasema alitegemea wangesema milioni moja halafu yeye angetoa laki tano au saba huku akitoa ahadi ya kumalizia mahari iliyo baki(waganda hakunaga kubakiza mahari). Wakati hapa Tz kutokumalizia mahari ni heshima kubwa sana kwa wakwe, kwasababu kwanza, inaonyesha kwamba bibi harusi sio bidhaa unayo weza kuinunua dukani na kwamba wazazi wa bibi harusi wamekutunuku binti yao ukaanzishe nae familia. Lakini pili Inaonyesha kwamba wewe muoaji unampenda sana mkeo kiasi kwamba haupo tayari kusubiri mpaka upate mahari kamili.

Mshenga akamuuliza bwana harusi. Hauna alternative mahali kwingine, yaani hauna mchumba mwingine?
Jamaa akajibu nina mchumba mwingine yupo Tanzania ila yeye ni muislamu na kwao wanataka tufunge ndoa ya kiislamu(mshenga akajibu nilitaka kushangaa unakosaje alternative?!).

Kisha akamuuliza. Upo tayari kufunga ndoa ya kiislamu? Jamaa akajibu yupo tayari. Mshenga akajibu tunasubiri nini? Mshenga akaenda kutoa taarifa ukweni kwamba tunarudi Dar kujipanga na tutarejea tutakapo kuwa tayari.

Jamaa karudi Dar ndani ya hizo wiki mbili kavuta jiko na harusi ikafanyika kwa gharama ya kawaida sana, na mtoto mwenyewe mbichi kabisa ndiyo kwanza kamaliza form four(anaweza kuwa bado hajawa dis flowered).

Baada ya kuoa jamaa kamjulisha mchumba wake wa uganda kwamba hayupo tena interested na ndoa kwa sababu hizo gharama haziwezi na kwamba ameamua kuoa sehemu nyingine. Mwanamke wa kiganda kachanganyikiwa sasa hivi anawalaumu wazazi wake tu.

Wakristo hizo zama za wanaume kutoa mahari za mamilioni hazipo tena. Jifunzeni kwa waislamu, mnawakosesha binti zenu ndoa kwa sababu ambazo hazina msingi. Kwanza karne hii ukiona mtu "amepandwa na kichaa " cha kutaka kuoa unapaswa kumpa mke haraka kabla kichaa hakija toweka, ili kichaa kiondoke tayari akiwa na mke ndani ndiyo akumbuke 'kumbe mimi fala hivi'.

NB: Kwa sababu ya complications zake, familia nyingi za kikristo huwa zina experience ndoa chache sana ikilinganishwa na familia za kiislamu. Dini ya kiislamu imerahisisha sana suala la ndoa. Matokeo yake familia nyingi za kikristo huwa hazifahamu saikolojia siasa za waoaji.

Ni hivi muoaji anapo kuja kwenye familia yako, usifikiri hajaona mwanamke mwingine au hana option nyingine. Most of the time muoaji anapofikia hatua ya kuja kujitambulisha nyumbani kwenu tayari anakuwa na option zingine kama mbili, tatu au hata nne.

Nikija kwenye familia yako kuchumbia, halafu ukaniletea complications ngumu, mimi nitakacho kifanya nita kuachia binti yako nitaenda kwenye familia ambayo haitaniwekea complications ngumu.

Ninapokuja kwenye familia yako usinichukulie kwanza kama mtu ambae ninataka kumuoa binti yako, nichukulie kama mtu ambae nimekuja kutazama kama familia yako ina complications au la!
Sio dini ya kikristo inapanga mahari ni mila na desturi acha kuichafua dini ya wenyewe…
Hao walifikiri wamepata kitega uchumi…
Mimi wajomba zangu ni wakristu sana wengine mapadre lakini swala la mahari wanapinga mwanzo mwisho wanasema mtoto wa kike sio commodity…
So rekebisha kauli sio dini ya Kikristo ni jamii na jamii
 
Samahani umetaja ukristo sawa ila kiasi fulani tusema ni maendeleo na usasa wa kweli ..Kuna mzee mmoja ni mkristo alioa huko lushoto miaka mingi maana now ana miaka kama 55 na kuendelea ..alisema enzi alioa mwanamke yeye mwenyewe hakuwa na kitu kabisa alitoa vitu kadhaa ambavyo sio vya thamani ni sehemu ya mazao yake aliyopandailikuwa ni viazi na makabichi ni huko lushoto...ila kwa sasa ypo mbali ana FUSO kadhaa na mkewe sema kijiji wanatoka ni kimoja..

Waislamu kwa sis wapo ambao ni expensive na tambua wazazi wengi wanaleta Tamaa kweny mahali kitu ambacho ndo kinaathiri sana .Binafsi mzee wangu alioza wanae bila ya kuchukua mahali kwanza walitaka wenyewe dada zangu wote ni watu wazima ...kingine mzee wetu alitusihi sana Yale mambo sijui kukaa mlangoni kutaka pesa akasema atakaye kaa kuleta ujinga atajuta, na hata Yale mambo ya kumuomba pesa shemeji zetu alikataa kabisa sio vizuri
Lkn hao wadada walikosea kwasababu..Mwenyezi Mungu alisema wanawake wapewe mahari Yao mara wanapoolewa...huenda hawakujua tu
 
Jiko la kiislamu ni cheap kuanzia mahari mpka harusi lakini unakuta harusi za kikristo ndiyo zinaongoza kwa kuchangishana michango ya harusi unakuta harusi inagharimu milioni 10+ afu wakitoka apo wanapanga chumba kimoja na sebule jumla kodi 100k kwa mwezi na zawadi zao za mabeseni na vijiko walivyopata siku ya harusi 😂😂😂mimi nefa nefa kufanya hivyo japo home ni wakristo ndani nje
 
Hao wa kuwa ‘disflower’ nyie mnawapataga wapi wenzetu? Au huwa hamuogopi miaka 30?
 
Huwezi lipa mahari uwezo huna usioe nenda kawe padri wa katoliki

Lofa hatakiwi kuoa atasumbua watu na mke kwa ulofa wake

Kipimo cha kuonyesha mwanaume.yuko fit sio tu ule mkuki wake ulioko ndani katikati ya suruali yake ndani ni uwezo wa kulipa mahari
Ndio million tisa sasa
 
Ukishaanza ku negotiate maana yake umeikubali mahari ila unalia kwa umasikini wako wa kushindwa kulipa mahari fulani.

The entire concept of mahari is objectifying women.

Inawafanya wanawake wawe bidhaa inayouzwa kwa wanaume.

Sawa na ng'ombe

It should be scratched.
Mkuu mfano wewe umeenda kuoa wazazi wa Binti wakataja mahari utafanya nini?
Utaanza kuwapiga darasa au ili wasikutoze sababu ni iumdunisha mwanamke?
Issue ya mahari ipo kitamaduni zaidi sidhani kama inahusiana na kuuzwa au kudunishwa kwa mwanamke.
 
asilimia 100% upande wa wakristo ndio umeleta ugumu sana maswala ya ndoa japo kutojitafakari.

Haya mambo yanapelekea wakristo wengi kushindwa kuoa au kuolewa.

kuanzia ghalama za mahali mpaka sheree.

na tunajikuta wengi wetu tukiishi unyumba hata ndoa kufanyika.

ukitaka kufahamu we nenda makanisani yani unakuta familia lakini baba na mama hawakufunga ndoa na ndo wanafunga ndoa
Hamna kitu Kama hiyo unazijua ndoa za jumatano?
 
Naunga mkono hoja.hata Mimi binamu yangu baada ya KUJIFUNGUA tu,wakwe wakaja kujitambulisha na kumaliza kila kitu.Sasa shangazi akataka mahari 3M.Kilichotokea Ni kwamba walitoa laki 3 tu,na wakasema mabinti wako wengi wazuri kuliko huyo binamu yangu kwa hiyo mama(shangazi)abaki na binti take.wao wanabeba Mtoto wao wanaenda kulea.
Binamu yangu akamwambia mama yake sibaki nyumbani maadamu wamekuja Hadi hapa naenda kwa bwana yangu.Laki 3 zikawekwa mezani,Wakwe hawakula chakula Wala vinywaji wakaondoka.Wakamuacha shangazi analia.Mpaka Sasa wameshafunga ndoa ya kanisani na Wana watoto 3.
Ifike kipindi watoto wa kike tujitambue na tukubaliane na Hali za hao mabwana zetu.ukiendekeza Wazazi Sana utazeekea kwa wazazi wako.
Na wewe tayari mkuu au tuandae laki tatu chap upate ndoa😃😃😃
 
Mimi ninachokumbuka waliokuja kuwa kwetu wote sisi familia ndio tumespend pesa kuliko hiyo mahali.

Kukarimu wakwe na ndugu wa upande wetu inakuwaga siyo shughuri ya kitoto, hiyo mahari ni formality tu ya vitu vya kimila mama wa mama, blangeti la bibi then pesa inayobaki anachukuwa mwenyewe muolewaji, hatujawahi kuwaza kunufaika na mahari.
 
Rafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano.

Muda wa kwenda kutoa mahari ulikuwa mwezi uliopita. Nilikuwa mmoja katika ujumbe uliyoongozana na rafiki yangu na matchmaker(mshenga) wake. Wakati wa kunegotiate mahari wazazi wakaanza na 15 million Ugandan ambayo ni kama milioni 9 ya Tanzania(walitaja idadi ya ng'ombe then ikawa converted to cash).

Tukakomaa wakashusha mpaka milioni kumi ya Uganda. Tutakomaa tana wakashusha mpaka milioni tano ya Uganda. Mwisho kabisa wakakomea shilingi milioni nne na point kadhaa ya Uganda ambayo ni sawa na milioni tatu ya Tanzania.

Hapo wakasema haipungui hata mia. Tukaomba tupewe muda tukatafakari kisha tutatoa taarifa ni lini tutarejea tena ukweni kukamilisha hiyo mahari. Kumbuka hapo tumefikia hotelini. Basi tulipoenda kujadiliana tukamuuliza muoaji kama bajeti yake ina mruhusu kulipa milioni tatu cash akasema no way out hawezi kulipa mahari yote hiyo.

Akasema alitegemea wangesema milioni moja halafu yeye angetoa laki tano au saba huku akitoa ahadi ya kumalizia mahari iliyo baki(waganda hakunaga kubakiza mahari). Wakati hapa Tz kutokumalizia mahari ni heshima kubwa sana kwa wakwe, kwasababu kwanza, inaonyesha kwamba bibi harusi sio bidhaa unayo weza kuinunua dukani na kwamba wazazi wa bibi harusi wamekutunuku binti yao ukaanzishe nae familia. Lakini pili Inaonyesha kwamba wewe muoaji unampenda sana mkeo kiasi kwamba haupo tayari kusubiri mpaka upate mahari kamili.

Mshenga akamuuliza bwana harusi. Hauna alternative mahali kwingine, yaani hauna mchumba mwingine?
Jamaa akajibu nina mchumba mwingine yupo Tanzania ila yeye ni muislamu na kwao wanataka tufunge ndoa ya kiislamu(mshenga akajibu nilitaka kushangaa unakosaje alternative?!).

Kisha akamuuliza. Upo tayari kufunga ndoa ya kiislamu? Jamaa akajibu yupo tayari. Mshenga akajibu tunasubiri nini? Mshenga akaenda kutoa taarifa ukweni kwamba tunarudi Dar kujipanga na tutarejea tutakapo kuwa tayari.

Jamaa karudi Dar ndani ya hizo wiki mbili kavuta jiko na harusi ikafanyika kwa gharama ya kawaida sana, na mtoto mwenyewe mbichi kabisa ndiyo kwanza kamaliza form four(anaweza kuwa bado hajawa dis flowered).

Baada ya kuoa jamaa kamjulisha mchumba wake wa uganda kwamba hayupo tena interested na ndoa kwa sababu hizo gharama haziwezi na kwamba ameamua kuoa sehemu nyingine. Mwanamke wa kiganda kachanganyikiwa sasa hivi anawalaumu wazazi wake tu.

Wakristo hizo zama za wanaume kutoa mahari za mamilioni hazipo tena. Jifunzeni kwa waislamu, mnawakosesha binti zenu ndoa kwa sababu ambazo hazina msingi. Kwanza karne hii ukiona mtu "amepandwa na kichaa " cha kutaka kuoa unapaswa kumpa mke haraka kabla kichaa hakija toweka, ili kichaa kiondoke tayari akiwa na mke ndani ndiyo akumbuke 'kumbe mimi fala hivi'.

NB: Kwa sababu ya complications zake, familia nyingi za kikristo huwa zina experience ndoa chache sana ikilinganishwa na familia za kiislamu. Dini ya kiislamu imerahisisha sana suala la ndoa. Matokeo yake familia nyingi za kikristo huwa hazifahamu saikolojia siasa za waoaji.

Ni hivi muoaji anapo kuja kwenye familia yako, usifikiri hajaona mwanamke mwingine au hana option nyingine. Most of the time muoaji anapofikia hatua ya kuja kujitambulisha nyumbani kwenu tayari anakuwa na option zingine kama mbili, tatu au hata nne.

Nikija kwenye familia yako kuchumbia, halafu ukaniletea complications ngumu, mimi nitakacho kifanya nita kuachia binti yako nitaenda kwenye familia ambayo haitaniwekea complications ngumu.

Ninapokuja kwenye familia yako usinichukulie kwanza kama mtu ambae ninataka kumuoa binti yako, nichukulie kama mtu ambae nimekuja kutazama kama familia yako ina complications au la!
Ninapokuja kwenye familia yako usinichukulie kwanza kama mtu ambae ninataka kumuoa binti yako, nichukulie kama mtu ambae nimekuja kutazama kama familia yako ina complications au la!

na kuonja humo humo
 
Back
Top Bottom