Wakristo mnatakiwa kuungana na waislamu kwenye hii vita

Zacht

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
1,026
Reaction score
2,266
Wakristo mnatakiwa kutambua kuwa hamna nafasi ya kushinda propaganda za LGBTQ isipokuwa kwakufanya muungano na Waislamu katika kupigana vita na Hawa wapotovu, Bibilia Iko wazi kwenye suala la ushoga kwamba ni laana na dhambi kubwa lakini Kuna baadhi ya viongozi wenu wanajaribu kupindisha mambo kutoka kwenye ukweli wake.

Wanaisalimisha dini yenu kwenye mfumo wa kidunia kwa kufaanya nao maafikiano na kile wanachokiita haki za binadamu sijui uhuru, ushoga haiwezi kuwa haki za binadamu kwanza haki za binadamu ni sambamba na Kulinda jinsia yako Ili uwe na Haki ni muhimu kwanza kuheshimu jinsia yako

Uislamu ndio dini pekee ambayo kwa sasa ambayo imesimama katika njia yake Dini zingine zote zimejisalimisha kwenye mfumo wao kwa kufanya maafikiano.Lengo lao , kuwafanya Waislamu wanyenyekee.Lakini Alhamdulillah, tunaona fahari kwamba dini yetu haifanyi hivyo
IMG_20230607_194514.jpg

The concept of Halal and Haram will never change. InshaAllah we'll never compromise with those Behayayi(Immodesty)

Waislamu tumeruhusiwa kufanya ushirika na wasio waislamu katika mambo kadhaa ikiwemo ya kijamii ,kielimu na kijeshi(ulinzi) isipokuwa ibada.

Tulinde heshima zetu za kiume,tuwafundishe watoto wetu kuwa wanaume kabla Dunia haijawafanya wanawake Hawa watu hawana nia njema na jamii yetu tuungane pamoja kupambana nao.

Islamophobia won't take you too far.
img_20230607_115035-jpg.2649310
 
Arusha,moshi Kuna ongezeko kubwa la mashoga kwani huko hata hio hiyo vita mnapigana
Mashoga wapo kila mahali na ni jambo ambalo linafanyika kwa usiri mkubwa kama ambavyo naweza kukutafunia mkeo bila wewe kujua, sasa utapigane vita na adui usiyemwona, kikubwa jilinde wewe na familia yako mengine yatazame tu na kuyaacha kama yalivyo.
 
Numbers don't lie tukianza na kulinganisha mataifa ya kiislamu na kikristo yanayijihusisha na ushoga
Sitetei wala kuukubali ushoga, lakini nachelea kuunganisha na dini. Tukirudi kwenye hoja yako, tofauti kubwa inaletwa na ukweli kwamba ulaya wana mashoga na wanakubali kwamba wana mashoga. Uarabuni wana mashoga, lakini hawataki kujulikana kama wana mashoga
 
Wakristo mnatakiwa kutambua kuwa hamna nafasi ya kushinda propaganda za LGBTQ isipokuwa kwakufanya muungano na Waislamu katika kupigana vita na Hawa wapotovu, Bibilia Iko wazi kwenye suala la ushoga kwamba ni laana na dhambi kubwa lakini Kuna baadhi ya viongozi wenu wanajaribu kupindisha mambo kutoka kwenye ukweli wake.

Wanaisalimisha dini yenu kwenye mfumo wa kidunia kwa kufaanya nao maafikiano na kile wanachokiita haki za binadamu sijui uhuru, ushoga haiwezi kuwa haki za binadamu kwanza haki za binadamu ni sambamba na Kulinda jinsia yako Ili uwe na Haki ni muhimu kwanza kuheshimu jinsia yako

Uislamu ndio dini pekee ambayo kwa sasa ambayo imesimama katika njia yake Dini zingine zote zimejisalimisha kwenye mfumo wao kwa kufanya maafikiano.Lengo lao , kuwafanya Waislamu wanyenyekee.Lakini Alhamdulillah, tunaona fahari kwamba dini yetu haifanyi hivyo
View attachment 2649308
The concept of Halal and Haram will never change. InshaAllah we'll never compromise with those Behayayi(Immodesty)

Waislamu tumeruhusiwa kufanya ushirika na wasio waislamu katika mambo kadhaa ikiwemo ya kijamii ,kielimu na kijeshi(ulinzi) isipokuwa ibada.

Tulinde heshima zetu za kiume,tuwafundishe watoto wetu kuwa wanaume kabla Dunia haijawafanya wanawake Hawa watu hawana nia njema na jamii yetu tuungane pamoja kupambana nao.

Islamophobia won't take you too far.
img_20230607_115035-jpg.2649310
Zanzibar na afande rama wote waislam
 
Arusha,moshi Kuna ongezeko kubwa la mashoga kwani huko hata hio hiyo vita mnapigana
Huwezi kupambana na kuumaliza ushoga hata kama sheria zipo seuse hazipo, kama ambavyo wizi, ufisadi, rushwa, ni kosa kisheria lakini bado yapo yanaendelea.
 
Sipendi mtu akitoa hoja za kuhusu [emoji2380][emoji2380][emoji2380] anahusisha na Dini, ila pale inapohusishwa huwa najibu kulingana na ilivyo husika.

Kupitia andiko lako, hakuna Dini ya kikristo iliyoruhusu ushoga, ila viongozi wao walifafanua namna jambo lilivyo ktk uhalisia wake, muwe mnawaelewa kwa weledi, sio kukurupuka tyuuh.

Afu km kuhusu uwingi wa Gays, maeneo mengi ya kiislamu ndo kuna wimbi la ushoga, na mashoga wengi ni wa islamu.

....
 
Vipi Kuhusu Dar Es salaam wapo Kibao Kila sehemu Wapo
Hapo Hazungumzii Waislamu wa Zanzibar Anazungumza Uislamu Kukataza Ushoga Swala ambalo wote Tunalishudia,
Huku watu Wote Wanaosupport Ushoga Wakitoka Katika dini Ya Ukristo
Dini imeleta shida kwenye ubongo wako ushoga ni zuga tu.
 
Sipendi mtu akitoa hoja za kuhusu [emoji2380][emoji2380][emoji2380] anahusisha na Dini, ila pale inapohusishwa huwa najibu kulingana na ilivyo husika.

Kupitia andiko lako, hakuna Dini ya kikristo iliyoruhusu ushoga, ila viongozi wao walifafanua namna jambo lilivyo ktk uhalisia wake, muwe mnawaelewa kwa weledi, sio kukurupuka tyuuh.

Afu km kuhusu uwingi wa Gays, maeneo mengi ya kiislamu ndo kuna wimbi la ushoga, na mashoga wengi ni wa islamu.

....
Kwenye ishu sensitive kama hizi we ni mweupe sana,makanisa yanafungisha ndoa za midume kwa midume tunaona kila leo ni biblia imewaruhusu?ushawahi ona huu upuuzi misikitini?yaan kabisa kiongozi wa dini ndani ya nyumba mnayoiita ya MUNGU anafungisha ndoa ya aina hii na nyinyi mnafurahi??
 
Dini imekuathiri kisaikojia ushoga ni zuga tu.
 
Sitetei wala kuukubali ushoga, lakini nachelea kuunganisha na dini. Tukirudi kwenye hoja yako, tofauti kubwa inaletwa na ukweli kwamba ulaya wana mashoga na wanakubali kwamba wana mashoga. Uarabuni wana mashoga, lakini hawataki kujulikana kama wana mashoga
Unafiki ni tatizo lao kuu hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom