Wakristo na sisi tukataze watoto wa nje, Matapeli wameanza kuiba mbegu za wanaume matajiri ili wapate watoto wa kurithi mali na pesa za kuwatunza

Wakristo na sisi tukataze watoto wa nje, Matapeli wameanza kuiba mbegu za wanaume matajiri ili wapate watoto wa kurithi mali na pesa za kuwatunza

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Navyoona ukristo haukuwahi kudhania kama dunia itakuja kufikia zama za sasa, leo hii inawezekana kabisa mwanaume alie marekani kusafirishia mbegu za kutunga mimba kwa mwanmke alie Tanzania.

Pengine Mungu alikataza watoto wa nje kurithi mali huko dini nyingine kwa kujua tutafikia zama hizi za teknolojia za kutunga mimba kisasa.

Mtu una pesa zako na familia yako, anatokea tapeli huko kunyonya mbegu zako kwa teknolojia za kisasa, mimba inatungwa ghafla unapewa taarifa una mtoto,,, hii sio sawa kabisa, watoto wako halali wanakosa mgao wao stahiki wa mali zako, mke wako hamtaelewana atadhani ulichepuka

Pia tapeli akiona kuna mtoto tayari mwenye haki za kurithi mali zako anaweza kutuma majambazi wakuue ili mali zipigwe pasu fasta, na hata huyo mtoto anaweza kuuawa ili tapeli achukue mgao wote.

Kuna huyu tapeli alijidunga mimba kwa kutumia kondom iliyotumika na bilionea, kila mwezi bilionea anampa mkwanja kumtunza mtoto na mtoto atakuja kurithi mabilioni

mtoto pekee halali ni wa ndani ya ndoa
 
Jamaa yangu siku hizi unaandika mashudu sijui umekuaje aisee.

Ukristo unakutoa povu kichizi.
 
Jamaa yangu siku hizi unaandika mashudu sijui umekuaje aisee.

Ukristo unakutoa povu kichizi.
Matapeli wameanza kutumia udhaifu wa ukristo kuumiza wakristo,

natoa tu elimu.

Mtu una pesa zako na familia yako, anatokea tapeli huko kunyonya mbegu zako kwa teknolojia za kisasa, mimba inatungwa ghafla unapewa taarifa una mtoto,,, hii sio sawa kabisa, watoto wako halali wanakosa mgao wao stahiki wa mali zako, mke wako hamtaelewana atadhani ulichepuka
 
Uchoyo tu..! Kama unaweza kutoa sadaka kwa mtu baki kuna shida gani mtoto wa mbegu zako akipata sehemu ya mali zako.
Tuache uchoyo, ubinafsi na kujirimbikizia mali. Hapa duniani sote tu wapitaji.
 
Uchoyo tu..! Kama unaweza kutoa sadaka kwa mtu baki kuna shida gani mtoto wa mbegu zako akipata sehemu ya mali zako.
Tuache uchoyo, ubinafsi na kujirimbikizia mali. Hapa duniani sote tu wapitaji.

Huwajui matapeli wewe, Mtoto akirithi hizo mali anaweza kuuliwa ili mali ziende kwa tapeli aliezinyonya hizo mbegu.

Matapeli hufanya chochote ili wapate pesa, tena wanaweza kuwahisha msiba wako wakukodishie majambazi wakupige mapanga mpaka ufe ili mambo yaende fasta
 
Matapeli wameanza kutumia udhaifu wa ukristo kuumiza wakristo,

natoa tu elimu.

Mtu una pesa zako na familia yako, anatokea tapeli huko kunyonya mbegu zako kwa teknolojia za kisasa, mimba inatungwa ghafla unapewa taarifa una mtoto,,, hii sio sawa kabisa, watoto wako halali wanakosa mgao wao stahiki wa mali zako, mke wako hamtaelewana atadhani ulichepuka
Hizo mbegu zinanyonywa wewe ukiwa wapi?? Unafanya nini?

Huyo tajiri si alikua anachakata mbususu hotelini na alitumia condom, condom na uzazi wa mpango hauruhusiwi. Sasa hapo unaulaumu vipi ukristo kwa makosa ya mtu mmoja.

Na pia ukristo hautoi hizo mambo za urithi, imekuaje umeuattack ukristo moja kwa moja na sio mahakama za huko kwa huyo tajiri.
 
Mimi nimeamua kuandikisha mali zangu jointly kwa watoto wangu wa ndani ya ndoa, baada ya mchepuko kunifanyia tofauti na makubaliano akakazaa. My wife nae namjengea yake.

Ila huyo mtoto wake najua hana kosa, naye najipanga kumjengea ingalau kajumba ambako nitakuwa joint owner.

Yawezekana kusiwe na kesi ya mirathi nikifa kwani hakutakuwa na mali za jina langu. Najiwekea tu mfumo wa financial assuarance nikiwa hai.
 
Back
Top Bottom