Wakristo Syria washeherekea Krismasi chini ya mtutu wa bunduki

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
kulikuwa na 1.8 million Christians in syria leo wamebakia laki 3 tu, wanasali chini ya mtutu wa bunduki, kama mlifikiri haitatokea hapa tanzagiza think again, lebanon ilikuwa ni Christian majority country leo hii wameisha karibia waote,

Wanapokwambia wanafight against ''mfumo Kristo'' wanamainisha hivyo kwamba kuondoa mfumo Kristo tanzagiza, be prepared ...

View: https://www.youtube.com/watch?v=iGu2-oaM8SM
 
Safi sana Syria mpya
Wanalindwa ili wasilete taharuki
 
Kuna haja gani kumuua binadamu mwenzio kisa muislam, kisa mkristo, kisa madaraka.
Sijui hao wamejifunzia wapi, ila mie nimejifunza ni haramu kumuua mtu asie na hatia, hata mwizi aliyeiba simu tu hapaswi kuuawa kwa mujibu wa uislam.
Kumuua mtu asie na hatia ni sawa na kumuua muislam mwenzio, na ni jambo baya sana
 
kulikuwa na 1.8 million Christians in syria leo wamebakia laki 3 tu, wanasali chini ya mtutu wa bunduki, kama mlifikiri haitatokea hapa tanzagiza think again, lebanon ilikuwa ni Christian majority country leo hii wameisha karibia waote,

Wanapokwambia wanafight against ''mfumo Kristo'' wanamainisha hivyo kwamba kuondoa mfumo Kristo tanzagiza, be prepared ...

View: https://www.youtube.com/watch?v=iGu2-oaM8SM

Wacha kujaza watu upuuzi wewe.
Syria ilikua katika migogoro na watu wengi walihama kama wakimbizi. Hata hao wakristo walikimbia nchi kwenda sehemu salama pamoja na wakristo.
Mji wa Homs ni miongoni mwa miji yenye wakristo wengi na wanaishi pasi na shida yeyote.
Lebanon wakristo bado wapo na wanazaana,na Lebanon utawala umegawanywa kwamba rais mkristo,waziri mkuu ni sunni na baraza la mawaziri ni shia.
Utasemaje wanataka kufuta mfumo kristo!?.Wacha akili za KIPUMBAVU za kikatoliki.
Hata hapa Tanzania walioshiriki kuua raia ni viongozi waislam na wakristo wa CCM. Emmanuel Nchimbi ni muislam?
Mwigulu Nchemba ni muislam!?
Pia unashindwa kuelewa kuwa Syria bado haijawa stable kiusalama. Juzi bomu limetupwa ndani ya msikiti na kuua watu nane kwenye mji wa Homs.
Makabila na vikundi vya uasi bado vinawindana hadi sasa.
Wacha fikra za KIPUMBAVU.
Adui wa Tanzania ni CCM pasi na kujalisha dini.
 
sasa anayejaza upuuzi ni mimi au aljazeera? kwa maana hiyo docu ni ya aljazeera tv na ndiyo waliosema kwamba siria ilikuwa na Christians milion 1.8 na sasa wamebakia laki kadhaa tu, au wewe unaelewa zaidi middle east na siria klk aljazeera ya qatar? ...
 
Sijakataa hiyo documentary ila nakataa uwasilishaji wako kwamba kupungua kwa hao wakristo ni waislam ndio wamesababisha kimakusudi.
Ukaenda mbali na kuhusisha hadi Tanzania pia waislam wana mkakati wa kupinga ukristo.
Je unajiona uko sahihi!?
Je Al jazeera walisema kuwa sababu ni waislam!??
Ilhali unaelewa kabisa Syria imekua katika vita za wenyewe kwa wenyewe ndani ya muda mrefu.
 
sasa anayejaza upuuzi ni mimi au aljazeera? kwa maana hiyo docu ni ya aljazeera tv na ndiyo waliosema kwamba siria ilikuwa na Christians milion 1.8 na sasa wamebakia laki kadhaa tu, au wewe unaelewa zaidi middle east na siria klk aljazeera ya qatar? ...
Sijakataa hiyo documentary ila nakataa uwasilishaji wako kwamba kupungua kwa hao wakristo ni waislam ndio wamesababisha kimakusudi.
Ukaenda mbali na kuhusisha hadi Tanzania pia waislam wana mkakati wa kupinga ukristo.
Je unajiona uko sahihi!?
Je Al jazeera walisema kuwa sababu ni waislam!??
Ilhali unaelewa kabisa Syria imekua katika vita za wenyewe kwa wenyewe ndani ya muda mrefu.
 
kulikuwa na 1.8 million Christians in syria leo wamebakia laki 3 tu, wanasali chini ya mtutu wa bunduki, kama mlifikiri haitatokea hapa tanzagiza think again, lebanon ilikuwa ni Christian majority country leo hii wameisha karibia waote,

Wanapokwambia wanafight against ''mfumo Kristo'' wanamainisha hivyo kwamba kuondoa mfumo Kristo tanzagiza, be prepared ...

View: https://www.youtube.com/watch?v=iGu2-oaM8SM

Sasa kama wanasherehekea kwa mtutu wa bunduki maana yake nini? usishangae wengine wamekodiwa kusherehekea
 
Acha udini hata waislam unajua million ngapi wameshachinjwa au kukimbilia uhamishoni? Assad na ISIS waliua bila kuangalia dini au kabila so msiingize agenda ya udini.

Hata hapo Lebanon na Palestina wakristo wameuwawa kibao tu na Israel!!
 
facts siyo udini, inaeleka dynamics za hilo eneo hauzielewi vizuri labda, assad ndiyo pekee aliyekuwa analinda Christians wa siria ambao wako hilo eneo kabla hata ya islam kuingia siria, muslims wanaouliwa siria sasa hivi ni wa dhehebu la alawites ambao ndiyo dhehebu la assad, hilo dhehebu la alawites wanauliwa na kila siku na sunni muslims wanaongozwa na iss jihadists.

muda wa Christians kuishi siria umeisha, watamalizwa wote au kufukuzwa na itakuwa kama lebanoni.

msikiti wa alawites umepigwa bomu na jihadists ...
1767018019120.png
 
kulikuwa na 1.8 million Christians in syria leo wamebakia laki 3 tu, wanasali chini ya mtutu wa bunduki, kama mlifikiri haitatokea hapa tanzagiza think again, lebanon ilikuwa ni Christian majority country leo hii wameisha karibia waote,

Wanapokwambia wanafight against ''mfumo Kristo'' wanamainisha hivyo kwamba kuondoa mfumo Kristo tanzagiza, be prepared ...

View: https://www.youtube.com/watch?v=iGu2-oaM8SM

Haya yalisha tabiriwa Biblia inasema watawwua wakidhani wanamfanyia Mungu ibada yohana 16:2.... kwa hyo jiandae tu kwa kifo na kuishi ni kristo kufa faida.
 
Sasa kama wanasherehekea kwa mtutu wa bunduki maana yake nini? usishangae wengine wamekodiwa kusherehekea
Mkuu Syria kwasasa haipo kiusalama hata kidogo.
Majuzi tu jiji la Homs msikitini watu wamelipuliwa na bomu.
Unatarajia nini!?
Syria ina mchafukoge mkubwa sana wa kiusalama.
 
inaeleka dynamics za hilo eneo hauzielewi vizuri labda
Tatizo unaingiza udini, tukienda kwa hesabu hiyo basi waislam ndio wamekufa wengi kuliko wakristo maana ndio majority huko Syria na ndio waliouwawa zaidi!! Ni kama DRC majority ni wakristo je tuyaite ni mauaji ya wakristo au ni mauaji ya wacongo?

Na unafanya convenience sampling, ila mauaji ya waislam wengine huko Syria huyazungumzii hasa Kurds!! Ila kwa wakristo ndio unageuza vita ni ya kidini.
 
Back
Top Bottom