Wakristo Syria washeherekea Krismasi chini ya mtutu wa bunduki

Wakristo Syria washeherekea Krismasi chini ya mtutu wa bunduki

kwangu ai inaniambia tofauti khs first electric train in east afrika, sasa sijui hiyo inayosema kenya umeitoa wapi? unaweza kuikopi na kuiweka hapa`...

,,The first electric train in East Africa operates in Tanzania, connecting major cities like Dar es Salaam and Dodoma as part of its new Standard Gauge Railway (SGR) project, marking a significant advancement in modern, sustainable transport for the region''
Nilii screenshot kabisa nikiipata nilipoihifadhi nai upload humu.
 
Popote yaliko maislam ni kitisho, hawana utulivu na kufanya maendeleo, wana fujo balaa hata kwenye ibada zao. Wapi uliona wakristo wana fujo kuchukia wasiokuwa wakristo? Ukristo hauna chuki, ni upendo na amani daima
Qatar.
Kuwait.
Bahrain.
Malaysia.
Indonesia.
UAE.
Oman.
Brunei.
Turkiye.

Kote huko kuna maendeleo ambayo ninyi makafiri hamuna,kuna makanisa na kuna wakristo wengi tu. Je umesikia wakinyanyaswa!?
Au kama kawaida zenu kuropoka kama mwanywa maji taka!
 
"Syria has among oldest Christiana communities on earth".
Syria ina miongoni mwa jamaa za kikristo za kale duniani.
Hii haimaanishi kuwa SYRIA WAS A CHRISTIANIC STATE.
Ulichokileta hata haukifahamu.

nina wasi wasi na intelligence yako, unapinga mambo ambayo yako wazi kabisa? sasa kama unakubali kwamba siria kulikua na Christians na ilitoa Papa miaka hiyo hapo hapo unapinga kwamba haikuwa Christian majority? wakati siria inatoa Papa kuongoza Kanisa, dini gani ilikuwa majority mwaka 150 a.d. in siria? kwa maana mwaka 150 a.d. Muhamad alikuwa hajazaliwa bado ...
 
nina wasi wasi na intelligence yako, unapinga mambo ambayo yako wazi kabisa? sasa kama unakubali kwamba siria kulikua na Christians na ilitoa Papa miaka hiyo hapo hapo unapinga kwamba haikuwa Christian majority? wakati siria inatoa Papa kuongoza Kanisa, dini gani ilikuwa majority mwaka 150 a.d. in siria? kwa maana mwaka 150 a.d. Muhamad alikuwa hajazaliwa bado ...
Hivi we jamaa ni mpuuzi!?
Christian majority ama Christianic state!?
Ushaleta mambo mengine hapa kabisa.
Dini flani kuwa na majority katika nchi fulani haimaanishi kuwa hiyo nchi ni ya dini hiyo.
Nigeria waislamu wengi je Nigeria ni nchi ya kiislamu!?
Rwanda wakristo wengi je ni nchi ya kikristo!?
Mbona ushaanza kuchanganya madesa hapa!??
Nenda kapimwe afya ya akili.
 
Waislamu wote ni watu poa na wema ispokua adriz Lucha Ritz kahtaan na THE BIG SHOW
Bro sasa mbona unaanza kutupa vyeo ambavyo sio vya kwetu?
Mimi mbona nimeajiri wagalatia wengi tu.
Na mmoja ktk watu ninaowaita uncle ni padri wa kanisa sehemu nilipokulia?

Tatizo sio Wakristo. Tatizo kubwa ni UKRISTO ule ambao kafundisha PAULO.
Ule wa kusema "akupigae shavu la kushoto geuka umpe na la kulia"
Na ule unaodai Mungu aliamua kujiua msalabani ili ajiridhishe mwenyewe kwa kubeba madhambi ya kitapeli ya kina Gwajima na mafisadi km kina Bashite na watu km hao .
Wakati biblia inadai kuwa ana samehe madhambi yote . Sasa vipi alishindwa kusamehe madhambi tu mpk aamue kudhalilishwa na viumbe ambao aliwaumba yeye mwenyewe?

Wewe unakubali hayo mafundisho?
 
Back
Top Bottom