zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Sio kweli, Alawites ni ethno-religious group kama wayahudi yaani jamii iliyofungamana na dini!! So wanaweza kuwa wanauwawa sababu ya ethnicity yao kushabihiana na Al Assad na sio specifically sababu ni dini!!muslims wanaouliwa siria sasa hivi ni wa dhehebu la alawites ambao ndiyo dhehebu la assad, hilo dhehebu la alawites wanauliwa na kila siku na sunni muslims wanaongozwa na iss jihadists.
Ni sawa na wabaya wa Samia wavamie zanzibar ambayo ni muslim majority waue watu!! Sasa mtu ayaite ni mauaji ya waislam badala ya wazanzibari!! Ndio hapo naita udini.
Kurds wanakufa kila siku sijaona ukisema ni mauaji ya waislam!! Ila kwa wakristo na Alawites ndio inageuka ya kidini!!