Wacha kujaza watu upuuzi wewe.kulikuwa na 1.8 million Christians in syria leo wamebakia laki 3 tu, wanasali chini ya mtutu wa bunduki, kama mlifikiri haitatokea hapa tanzagiza think again, lebanon ilikuwa ni Christian majority country leo hii wameisha karibia waote,
Wanapokwambia wanafight against ''mfumo Kristo'' wanamainisha hivyo kwamba kuondoa mfumo Kristo tanzagiza, be prepared ...
View: https://www.youtube.com/watch?v=iGu2-oaM8SM
Wacha kujaza watu upuuzi wewe.
Syria ilikua katika migogoro na watu wengi walihama kama wakimbizi. Hata hao wakristo walikimbia nchi kwenda sehemu salama pamoja na wakristo.
Mji wa Homs ni miongoni mwa miji yenye wakristo wengi na wanaishi pasi na shida yeyote.
Lebanon wakristo bado wapo na wanazaana,na Lebanon utawala umegawanywa kwamba rais mkristo,waziri mkuu ni sunni na baraza la mawaziri ni shia.
Utasemaje wanataka kufuta mfumo kristo!?.Wacha akili za KIPUMBAVU za kikatoliki.
Hata hapa Tanzania walioshiriki kuua raia ni viongozi waislam na wakristo wa CCM. Emmanuel Nchimbi ni muislam?
Mwigulu Nchemba ni muislam!?
Pia unashindwa kuelewa kuwa Syria bado haijawa stable kiusalama. Juzi bomu limetupwa ndani ya msikiti na kuua watu nane kwenye mji wa Homs.
Makabila na vikundi vya uasi bado vinawindana hadi sasa.
Wacha fikra za KIPUMBAVU.
Adui wa Tanzania ni CCM pasi na kujalisha dini.
Sijakataa hiyo documentary ila nakataa uwasilishaji wako kwamba kupungua kwa hao wakristo ni waislam ndio wamesababisha kimakusudi.sasa anayejaza upuuzi ni mimi au aljazeera? kwa maana hiyo docu ni ya aljazeera tv na ndiyo waliosema kwamba siria ilikuwa na Christians milion 1.8 na sasa wamebakia laki kadhaa tu, au wewe unaelewa zaidi middle east na siria klk aljazeera ya qatar? ...

Sasa kama wanasherehekea kwa mtutu wa bunduki maana yake nini? usishangae wengine wamekodiwa kusherehekeakulikuwa na 1.8 million Christians in syria leo wamebakia laki 3 tu, wanasali chini ya mtutu wa bunduki, kama mlifikiri haitatokea hapa tanzagiza think again, lebanon ilikuwa ni Christian majority country leo hii wameisha karibia waote,
Wanapokwambia wanafight against ''mfumo Kristo'' wanamainisha hivyo kwamba kuondoa mfumo Kristo tanzagiza, be prepared ...
View: https://www.youtube.com/watch?v=iGu2-oaM8SM
Na bora wangebaki katika Ukristo wao yamkini wasingepita ktk huu ujinga.kwa nini kusiwe hata na mmoja? siria ilikuwa Christian kabla ya islam ...
Acha udini hata waislam unajua million ngapi wameshachinjwa au kukimbilia uhamishoni? Assad na ISIS waliua bila kuangalia dini au kabila so msiingize agenda ya udini.kulikuwa na 1.8 million Christians in syria leo wamebakia laki 3 tu, wanasali chini ya mtutu wa bunduki, kama mlifikiri haitatokea hapa tanzagiza think again, lebanon ilikuwa ni Christian majority country leo hii wameisha karibia waote,
Ukraine kuna waislam? Mbona wanauwawa?Na bora wangebaki katika Ukristo wao yamkini wasingepita ktk huu ujinga.
Acha udini hata waislam unajua million ngapi wameshachinjwa au kukimbilia uhamishoni? Assad na ISIS waliua bila kuangalia dini au kabila so msiingize agenda ya udini.
Hata hapo Lebanon na Palestina wakristo wameuwawa kibao tu na Israel!!
Haya yalisha tabiriwa Biblia inasema watawwua wakidhani wanamfanyia Mungu ibada yohana 16:2.... kwa hyo jiandae tu kwa kifo na kuishi ni kristo kufa faida.kulikuwa na 1.8 million Christians in syria leo wamebakia laki 3 tu, wanasali chini ya mtutu wa bunduki, kama mlifikiri haitatokea hapa tanzagiza think again, lebanon ilikuwa ni Christian majority country leo hii wameisha karibia waote,
Wanapokwambia wanafight against ''mfumo Kristo'' wanamainisha hivyo kwamba kuondoa mfumo Kristo tanzagiza, be prepared ...
View: https://www.youtube.com/watch?v=iGu2-oaM8SM
Mkuu Syria kwasasa haipo kiusalama hata kidogo.Sasa kama wanasherehekea kwa mtutu wa bunduki maana yake nini? usishangae wengine wamekodiwa kusherehekea
Tatizo unaingiza udini, tukienda kwa hesabu hiyo basi waislam ndio wamekufa wengi kuliko wakristo maana ndio majority huko Syria na ndio waliouwawa zaidi!! Ni kama DRC majority ni wakristo je tuyaite ni mauaji ya wakristo au ni mauaji ya wacongo?inaeleka dynamics za hilo eneo hauzielewi vizuri labda