zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Sio kweli, Alawites ni ethno-religious group kama wayahudi yaani jamii iliyofungamana na dini!! So wanaweza kuwa wanauwawa sababu ya ethnicity yao kushabihiana na Al Assad na sio specifically sababu ni dini!!muslims wanaouliwa siria sasa hivi ni wa dhehebu la alawites ambao ndiyo dhehebu la assad, hilo dhehebu la alawites wanauliwa na kila siku na sunni muslims wanaongozwa na iss jihadists.
Sio kweli, hata Sunni muslim na kurds kibao tu in Millions wamekimbia Syria ila hujasema ndio mwisho wa uislam au kurds Syria? So tusifanye perception selectivity kuwa waathirika ni dini moja tu wakati zaidi ya wakimbizi million 5 wamekimbilia ulaya na majority ni waislam!!muda wa Christians kuishi siria umeisha, watamalizwa wote au kufukuzwa na itakuwa kama lebanoni.
Kitima inatakiwa aulizwe hili swali.Kuna haja gani kumuua binadamu mwenzio kisa muislam, kisa mkristo, kisa madaraka.
Sijui hao wamejifunzia wapi, ila mie nimejifunza ni haramu kumuua mtu asie na hatia, hata mwizi aliyeiba simu tu hapaswi kuuawa kwa mujibu wa uislam.
Kumuua mtu asie na hatia ni sawa na kumuua muislam mwenzio, na ni jambo baya sana
Alawites ni jamii sio dhehebu ya dini. Na katika huo msikiti madhehebu yote wanaswali.facts siyo udini, inaeleka dynamics za hilo eneo hauzielewi vizuri labda, assad ndiyo pekee aliyekuwa analinda Christians wa siria ambao wako hilo eneo kabla hata ya islam kuingia siria, muslims wanaouliwa siria sasa hivi ni wa dhehebu la alawites ambao ndiyo dhehebu la assad, hilo dhehebu la alawites wanauliwa na kila siku na sunni muslims wanaongozwa na iss jihadists.
muda wa Christians kuishi siria umeisha, watamalizwa wote au kufukuzwa na itakuwa kama lebanoni.
msikiti wa alawites umepigwa bomu na jihadists ...
View attachment 3522328
Lete uthibitisho Syria kuw Christian country.kwa nini kusiwe hata na mmoja? siria ilikuwa Christian kabla ya islam ...
Ona huyu matako mwengine anayekuja kuropoka.Uislam ni Cult
Ukielewa hilo maana hutakuja kushangaa
Lete uthibitisho Syria kuw Christian country.
Yaani uelewa wa waislam wengi ni mdogo sana sana yani wao wako busy kupigania uislam badala ya kutafuta pesa ndio maana mikonya waislam mingi ni maskini wa kutupwa maana wamejaza ujinga vichwani mwaoAcha udini hata waislam unajua million ngapi wameshachinjwa au kukimbilia uhamishoni? Assad na ISIS waliua bila kuangalia dini au kabila so msiingize agenda ya udini.
Hata hapo Lebanon na Palestina wakristo wameuwawa kibao tu na Israel!!
Nani kapigania uislam? Huko Sudan mbona wote waislam na wanachinjana? Same to Yemen na Iraq!! Nyie ndo mnaingiza udini ila hizo vita zote ni za kisiasa na geopolitical sio religious.Yaani uelewa wa waislam wengi ni mdogo sana sana yani wao wako busy kupigania uislam badala ya kutafuta pesa ndio maana mikonya waislam mingi ni maskini wa kutupwa maana wamejaza ujinga vichwani mwao
AI Ndio uthibitisho wa hili!?from ai
''Syria was a major center of Christianity for centuries, with Christian communities dating back to the 1st century AD, even forming a majority (around 80%) before the Islamic conquest in the 7th century, though Islam became dominant later, Christianity remains a significant, though diminished, part of Syria's religious fabric''
- Cradle of Christianity: Syria is considered a cradle of Christianity, with St. Paul converting on the road to Damascus and Antioch becoming a key early Christian center.
Duniani matajiri waislam.Yaani uelewa wa waislam wengi ni mdogo sana sana yani wao wako busy kupigania uislam badala ya kutafuta pesa ndio maana mikonya waislam mingi ni maskini wa kutupwa maana wamejaza ujinga vichwani mwao
Muulize Central African republic,DR Congo, Myanmar je ni waislamu!?Nani kapigania uislam? Huko Sudan mbona wote waislam na wanachinjana? Same to Yemen na Iraq!! Nyie ndo mnaingiza udini ila hizo vita zote ni za kisiasa na geopolitical sio religious.
Tuache kuongelea udini kwenye hamna
Safi sana
AI Ndio uthibitisho wa hili!?
Bro uko serious kweli?
AI hii hii inayokwambia treni ya umeme ya kwanza Afrika mashariki ipo KENYA!?
Comeon broo embu come back to your sanity.
Mie nilidhani utaniletea archeological facts hapa unaniletea ushahidi wa AI!??
Doh!Pole sana.
AI Ndio uthibitisho wa hili!?
Bro uko serious kweli?
AI hii hii inayokwambia treni ya umeme ya kwanza Afrika mashariki ipo KENYA!?
Comeon broo embu come back to your sanity.
Mie nilidhani utaniletea archeological facts hapa unaniletea ushahidi wa AI!??
Doh!Pole sana.
"Syria has among oldest Christiana communities on earth".haya kama mpaka leo hii bado hauamini ai pole, hiyo hapo chini ni kwa mujibu wa wiki, nayo pia hauamini?
Christianity in Syria (Arabic: المسيحية في سوريا) has among the oldest Christian communities on Earth, dating back to the first century AD, and has been described as a "cradle of Christianity". With its roots in the traditions of St. Peter and St. Paul the Apostle, Syria quickly became a major center of early Christianity and produced many significant theologians and church leaders.
St. Paul the Apostle famously converted to Christianity on the road to Damascus, and Syria has produced seven Popes: Pope Anicetus (157–168 AD), Pope John V (685–686), Pope Sergius I (687–701), Pope Sisinnius (708), Pope Constantine (708–715), Pope Gregory III (731–741 AD), and the first pope, St. Peter, who was from Bethsaida.