Nilii screenshot kabisa nikiipata nilipoihifadhi nai upload humu.kwangu ai inaniambia tofauti khs first electric train in east afrika, sasa sijui hiyo inayosema kenya umeitoa wapi? unaweza kuikopi na kuiweka hapa`...
,,The first electric train in East Africa operates in Tanzania, connecting major cities like Dar es Salaam and Dodoma as part of its new Standard Gauge Railway (SGR) project, marking a significant advancement in modern, sustainable transport for the region''
Qatar.Popote yaliko maislam ni kitisho, hawana utulivu na kufanya maendeleo, wana fujo balaa hata kwenye ibada zao. Wapi uliona wakristo wana fujo kuchukia wasiokuwa wakristo? Ukristo hauna chuki, ni upendo na amani daima
"Syria has among oldest Christiana communities on earth".
Syria ina miongoni mwa jamaa za kikristo za kale duniani.
Hii haimaanishi kuwa SYRIA WAS A CHRISTIANIC STATE.
Ulichokileta hata haukifahamu.
Hivi we jamaa ni mpuuzi!?nina wasi wasi na intelligence yako, unapinga mambo ambayo yako wazi kabisa? sasa kama unakubali kwamba siria kulikua na Christians na ilitoa Papa miaka hiyo hapo hapo unapinga kwamba haikuwa Christian majority? wakati siria inatoa Papa kuongoza Kanisa, dini gani ilikuwa majority mwaka 150 a.d. in siria? kwa maana mwaka 150 a.d. Muhamad alikuwa hajazaliwa bado ...
Bro sasa mbona unaanza kutupa vyeo ambavyo sio vya kwetu?