Wakristo tuisusie Azam TV, wanatutenga Krismasi

Jesus Christ was born in islael , yet the Jews don't know him. Think about it. It is like people saying that you have a son while in actual fact you don't have but they are shouting and rejoysing that your son is handsome.
 
Unaangaika na Azama..Nini
Ntumie elfu kumi nikutumie Zawadi ya Xmass...Kadi, biscuits, cake na Chocolate.
Ukafurahie na Mama wototo..

Zitakuwa packaged to your satisfaction.
 
Mleta mada unaweza kukuta ni Mwanaume na ndevu zake na siku aliyozaliwa wazazi wake walifanya sherehe kwa kupata mtoto wa kiume!

mimi binafsi yangu nimemuelewa lakini habari za azam zipo daily na ukweli tu ni kuwa Bakhresa ni mfanyabiashara lakini anaendesha biashara zake kwa msingi wa imani yake.

Kitu ambacho si kibaya lakini kama mfanyabiashara ambaye unahudumia soko lenye balance kubwa ya kidini pasipo kuisimamisha Tv yake kama ya kidini. Alitakiwa kubalance kama wengine wanavyofanya
 
Jesus Christ was born in islael , yet the Jews don't know him. Think about it. It is like people saying that you have a son while in actual fact you don't have but they are shouting and rejoysing that your son is handsome.
Jew gani hamjui yesu??Jirani yako au?
 
Katika mawazo mfu Ndio hayo. Wacha udini ndugu jali usalama wa Kila mwnadamu unae kutana na.
 
Mkuu acha chuki...maana unakuwa huna tofauti na unaowachukia maana wao wanakuchukia
 
Daudi this has nothing to do with his/her age. It has everything to do with his/her hatred against Islam

Jew gani hamjui yesu??Jirani yako au?
Jews from islael hawamjui kabisa na ndo maana hakuna myahudi mkristo Wana dini zao. Nawashangaa wakristo mnaowatetea mayahudi wakati hata ukristo wenyewe hawajui na hawaamini kma yesu alizaliwa kwao
 
Jews from islael hawamjui kabisa na ndo maana hakuna myahudi mkristo Wana dini zao. Nawashangaa wakristo mnaowatetea mayahudi wakati hata ukristo wenyewe hawajui na hawaamini kma yesu alizaliwa kwao
wewe ni Jew??Haya umeyajulia wapi?Ulishawahi hata kufika Israel?(PS:Mimi tayari)
 
Hauna ushamba wa aina iyo sisi
 
Tutafutie king'amuzi mbadala cha kuwaangali mikia ndio uje na hoja zako za kifala fala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…