Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Kuna mtu mmoja alisikika huko mitandaoni akisema kwenye video mjongeo maneno hayo aliyosasema kama inavyoonekana hapo chini...
Mama kauliza hapo wakuu.. tusaidiane kupata majibu mpaka imfikie mama
Cc. Mhe. Dkt Dorothy Gwajima . waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
Cc. Wizara ya maendeleo ya jamii,jinsia,wanawake na makundi maalum
Cc. Wizara ya elimu
Je, Sisi wanaume tunaoteketea kwenye ndoa zetu na mahusiano yetu tunalipi la kujibu kuhusu hili maana nyumba za ibada ni shule kama ilivyo shule zingine .