Mungu Ni WA ajabu Sana, unapokutana Na MTU ambae siyo kusudi Lake uwe au umsikilize, huwa anamshinikiza MTU huyo aongee Jambo la ajabu Bila yeye mwenyewe kujitambua, Ni ishara kwamba mtumishi ameachwa Na roho WA Mungu,
Kwa wale WA Bible Sana rejea kisa cha mtoto wa Suleimani Na tamko Lake Mbele ya wana WA Israel,
Ilikuwa hivi, wao waliuliza ,baba ako alitutumikisha .......Je wewe utatufanyia Nini.....anaomba ushauri WA wazee nao Ni mzuri ,Ila akapuuza,si Bahati mbaya.akapokea ushauri WA rafiki zake..tena mbaya...wakamwambia waambie kidole chako cha mwisho Ni Kinene Mara kadhaa ya kile cha baba yako, hivo kama baba yako aliwafanyie vile Na ikawa kidogo, mana Ake wewe utafanya Zaidi, ,,akapokea Neno hili, nalo ilikuwa Ni makusudi ya Mungu,
2 Mambo ya Nyakati 10:13-15
[13]Mfalme akawajibu kwa ukali; mfalme Rehoboamu akaliacha shauri la wazee, akasema nao kwa shauri la vijana,
[14]akinena, Baba yangu aliwafanyia kongwa zito, nami nitawaongezea; baba yangu aliwapiga kwa mijeledi, lakini mimi nitawapiga kwa nge.
[15]Basi mfalme hakuwasikia wale watu; maana jambo hili lilitoka kwa Mungu, ili alithibitishe neno lake alilomwambia Yeroboamu mwana wa Nebati kwa mkono wa Ahiya Mshiloni.
Hapa kama kanisa Ni la jamaa Mungu hapo anawaambia waondoke, kama Ni ministry, Mungu anawaambia watafute mchungaji mwngine, Mungu ana mafumbo Sana , Ila Sisi ndio vilaza