Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Fasihi, theolojia etc.Una matatizo kwenye kufikiri.Usiuchukulie wimbo kwa namna unavyowaza.Kila neno linalowekwa huwa lina maana zaidi ya unavyoliona na kulitafsiri.Jifunze kuhusu fasihi kwa ufasaha.Kama unataka kwenda makanisa ya walokole weye nenda.Usitafute vijisababu.
Huyu akiambiwa Mwinyi amekula chumvi nyingi, basi ataanza kukaridia magunia ya chumvi yaliyoliwa na Mwinyi