Wakristo tujitafakari upya taratibu zetu zote za mazishi. Kuna mambo hayako sawa


Aliyenacho anaongezewa na asiyenacho ndio hivyo tena. Hata hivyo kuzikwa ma maaskofu sio mtaji wa kupata wepesi huko mbele ya safari. Tuishi maisha mema ya kumpendeza Mungu ili iwe mtaji wetu
 
Wakubwa wanazikana bana shida nini? Hatuwezi kuwa wote sawa ndio maisha yalivyo utake au usitake.
 
Haya mambo ya Mungu ni mambo ya kitapeli. Hayana maana yoyote na wala Mungu hayupo.
 
Madaraja ya Bindamu yalikuwepo hata wakati wa Mitume.Ukuu unaishia hapa duniani ,Usawa utakuweko tutakaporejea kwa Muumba wetu.kwenye Hukumu ya Haki.
 
Kwani huko mkapa aliko kapata faida gani
 
Mkuu lazima ukalubali tu kwamba hats huko mbinguni lazima kuna classes isitoshe hapa duniani ??? Ila yote kwa yote mwisho wa ujanja wa mwanadamu ni hapo mwenye kulamba udongo.
 
Jimbo katoliki la Dsm lipo chini ya Askofu mkuu mwandamizi Baba askofu Ruwaichi Yuda Thadei
Mkuu usiseme tu Jimbo katololiki la Dsm. Sema Jimbo KUU katoliki la Dsm. Nafikiri kuna utofauti Mkubwa kati ya Jimbo na Jimbo Kuu kwa imani ya Kikristo ya Kikatoliki. Niko tayari kurekebishwa.
 
Mkuu usiseme tu Jimbo katololiki la Dsm. Sema Jimbo KUU katoliki la Dsm. Nafikiri kuna utofauti Mkubwa kati ya Jimbo na Jimbo Kuu kwa imani ya Kikristo ya Kikatoliki. Niko tayari kurekebishwa.
Jimbo ni jimbo tu, nyingine mbwembwe
 
Yule Ngalekumtwa wa Iringa ndo mkuu wa Baraza la maaskofu TEC ( Sijui anaitwa Rais wa TEC/mwenyekiti)

Kwa maana hiyo ndio kiongozi wa Maaskofu wote wa Katoliki Tanzania
SI kweli.
 
Alichofanya ni kusafiri na Padre wake pamoja na wasaidizi kutoka parokia aliyokuwa anasali town hadi kijijini wakamaliza kazi. Infact,kama hakuna anayekujua kwenye haya madhehebu ni kisanga.
Nakuhakikishia 100% kwamba hakuna Padre wa Kanisa Katoliki anayeweza kuendesha hata ibada tu ndani ya Parokia nyingine bila ya ruhusa ya Paroko wa hiyo Parokia. Huenda alienda kuchukua mchungaji fulani tu, lakini kwa muundo wa utendaji wa Kanisa Katoliki HAIWEZEKANI kuleta Padre wako kimya kimya
 
Yule Ngalekumtwa wa Iringa ndo mkuu wa Baraza la maaskofu TEC ( Sijui anaitwa Rais wa TEC/mwenyekiti)

Kwa maana hiyo ndio kiongozi wa Maaskofu wote wa Katoliki Tanzania
Update bank yako ya taarifa

Baba Ngalalekumtwa sio tena Rais wa TEC
 
mkuu tukiwa duniani we must believe in something ili mambo yaende
 
Mkuu usipotoshe uma Kama huna taarifa sahihi kukaa kimya ni busara.
Mhashamu baba Askofu Ngalalekumtwa ni Askofu wa Iringa. (Rais mstaafu wa TEC)
Rais wa TEC ni Askofu Gervas Nyaisonga.
Nyaisonga ni mtu wa eagle haya Mambo haya dah....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…