Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Acha Uwongo wewe.Huujui ukristo!!,hujui chochote kuhusu crusade war that sponsored by pope!!,nenda kajifunze kuhusu crusade war halafu uje ufute comment yako hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha Uwongo wewe.Huujui ukristo!!,hujui chochote kuhusu crusade war that sponsored by pope!!,nenda kajifunze kuhusu crusade war halafu uje ufute comment yako hii
Sio vita ya dini hiyo mkuu.Mzuka wanajamvi!
Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia.
Sasa ni zamu yetu sasa hivi huko Ukraine tunachinjana kama hatuna akili nzuri tena Wagalatia wa orthodox wenyewe kwa wenyewe.
Unalipwa pesa kiasi gani kwa kusema Uwongo??.Hiki unachoniambia Inahusiana na nini na nilichomjibu mwenye comment hiyo!!?? Kuwa na akili timamu basi usijichetue kwanza crusade war ilitokea kuanzia 1095 mpk 1291 wakati ambapo uislamu ulikuwa umeshashamiri na mtume Mohammad(S.AW) ameshafariki miaka mia nyuma
Wajinga huwa hamkosekani popote pale!! Mkuu mimi sihusiki na ww kutokwenda shule ni bora ungewalaumu wazazi wako kwa kukufanya uoneshe ujinga mbele ya hadhara,wale ambao wamesoma nikizungumzia crusade wars wanaelewa nazungumzia nini....Rudi shule elimu ni bure mkuuUnalipwa pesa kiasi gani kwa kusema Uwongo??.
Usidanganye wala kudanganyika,si kila Mkristo ni Mkristo.Mzuka wanajamvi!
Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia.
Sasa ni zamu yetu sasa hivi huko Ukraine tunachinjana kama hatuna akili nzuri tena Wagalatia wa orthodox wenyewe kwa wenyewe.
Jf ya siku hizi imejaa wajinga wengi mno bora ulivyoamua kumpa darasa la bure afahamu kiwango cha ujinga alichofika ikiwezekana ajielimishe.Wajinga huwa hamkosekani popote pale!! Mkuu mimi sihusiki na ww kutokwenda shule ni bora ungewalaumu wazazi wako kwa kukufanya uoneshe ujinga mbele ya hadhara,wale ambao wamesoma nikizungumzia crusade wars wanaelewa nazungumzia nini....Rudi shule elimu ni bure mkuu
![]()
Crusades - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Kibwetere aliwachoma waumini wake hapo Uganda kwenye masuala hayo ya imani ya kikristo.
Utakuta nae huyu eti kaajiriwa sehemu wakati watu competent wapo mitaani hawana ishu ya kufanya..Mtu anaweka argument bila reasoning kama si upuuzi ni nini!Jf ya zamani ilikuwa mtu hadi unaogopa kucomment kwanza kabla ya kuleta ubishi unaenda kugoogle kwanza hili kujilizisha na hicho unachosimamia,Free basics na smartphone imetuletea janga kubwa sanaJf ya siku hizi imejaa wajinga wengi mno bora ulivyoamua kumpa darasa la bure afahamu kiwango cha ujinga alichofika ikiwezekana ajielimishe.
Yeah Brain wash ya Dunia, As of 2014 mpaka 2019 Azov Battalion (kundi la Kigaidi la Ukraine) lilikuwa limefanya Attacks 304 ndani ya Hio miaka 5,Kwamba imezoeleka waafrika na Waarabu ndio wanapigana mara nyingi, ila sasa wazungu nao wanapigana
Lakini Sio jambo la kufurahia, vita yoyote ile sio ya kuchekelea
mkuu Mkristo ni Yule Anaye Yafuata na Kuyaishi Mafundisho ya Yesu! Ref!;Mzuka wanajamvi!
Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia.
Sasa ni zamu yetu sasa hivi huko Ukraine tunachinjana kama hatuna akili nzuri tena Wagalatia wa orthodox wenyewe kwa wenyewe.
Utakuwa umezaliwa juzi. Nimekuwekea chanzo kabisa cha BBC swahili.Nini kinakufanya hata useme kibwetele alichoma waumini wake kwa ajili ya kristo?
Una Digrii ngapi wee check bob??.Wajinga huwa hamkosekani popote pale!! Mkuu mimi sihusiki na ww kutokwenda shule ni bora ungewalaumu wazazi wako kwa kukufanya uoneshe ujinga mbele ya hadhara,wale ambao wamesoma nikizungumzia crusade wars wanaelewa nazungumzia nini....Rudi shule elimu ni bure mkuu
![]()
Crusades - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Nimemkumbuka tu Kibwetere na wafuasi wake,kule Rwanda walichinjana kwa ubaguzi wa kikabila,ubaguzi ni ubaguzi tu,uwe ubaguzi wa kidini,rangi ya ngozi,races...Wakristo ni dini ya upendo haki na amani kwa wote.
#MaendeleoHayanaChama
Na wewe kenge umetokea wapi??. Kajitawaze kwanza unanuka mavi.Jf ya siku hizi imejaa wajinga wengi mno bora ulivyoamua kumpa darasa la bure afahamu kiwango cha ujinga alichofika ikiwezekana ajielimishe.
Wewe jamaa mavi sana, yaani mtu asipokubaliana na wewe basi amekuwa Mjinga sio?,Naweza kubisha kukataa kile unachokisema kwasababu siamini ktk ushahidi wako,sasa mimi kukupinga wewe hainifanyi mimi kuwa Mjinga wala Mimi kukubaliana na wewe hainifanyi mimi kuwa na akili.Utakuta nae huyu eti kaajiriwa sehemu wakati watu competent wapo mitaani hawana ishu ya kufanya..Mtu anaweka argument bila reasoning kama si upuuzi ni nini!Jf ya zamani ilikuwa mtu hadi unaogopa kucomment kwanza kabla ya kuleta ubishi unaenda kugoogle kwanza hili kujilizisha na hicho unachosimamia,Free basics na smartphone imetuletea janga kubwa sana
Kule hawachinjani kwa sababu za kidini, isipokuwa kuna kichaa mmoja ameamua kuua raia wema kwa sababu za kutunga.Sasa ni zamu yetu sasa hivi huko Ukraine tunachinjana kama hatuna akili nzuri tena Wagalatia wa orthodox wenyewe kwa wenyewe.
Kibwetere alikuwa wa Rwanda eeh???.kitu km hujui bora tu kujinyamazia kimya.Nimemkumbuka tu Kibwetere na wafuasi wake,kule Rwanda walichinjana kwa ubaguzi wa kikabila,ubaguzi ni ubaguzi tu,uwe ubaguzi wa kidini,rangi ya ngozi,races...
Hao walioenda kuvamia Iraq,Afghanistan,Libya,Somalia na wanao uwa wanawake na watoto huko Palestina wao ni dini gani? Huo ndio upendo unaouongelea?
Kuwakata viungo Albino wakiwa hai ndio upendo huo? Kuchoma moto vibaka wakiwa hai ndio upendo unaouongelea? Kuua vikongwe kwa imani za kishirikina ndio upendo huo?
Wewe ni mjinga tena zoba,waelevu hawabishi au hakatai kitu bila kufanya research,No research no right to speak..Upumbavu wako unaonekana pale ambapo hujakubaliana na mawazo yangu bila kuwa na ushahidi(reasoning with facts) ukaleta ufulambute wako kwa kunishutumu kuwa ni muongo kumbe ni tatizo lako la ujinga uliokujaa kichwani,mtu mwerevu kabla ya kucomment kwanza juu ya kitu kipya ambacho hajwahi kukisikia anafanya research nilitegemea ungekuja na information ya kuonyesha hakukutokea crusade war badala yake kama kawaida fact ya mjinga ni moja tu hajijui ukaja na blahblah!mara oh umetumwa na nani kudanganya mara upuuzi tu!! Sasa hapo kati ya wewe usiye na information na mimi niliyekupa information nani mjinga?Wewe jamaa mavi sana, yaani mtu asipokubaliana na wewe basi amekuwa Mjinga sio?,Naweza kubisha kukataa kile unachokisema kwasababu siamini ktk ushahidi wako,sasa mimi kukupinga wewe hainifanyi mimi kuwa Mjinga wala Mimi kukubaliana na wewe hainifanyi mimi kuwa na akili.