Wakristo tumefundishwa hivi kuhusiana na upendo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Wakristo sisi tumefundishwa hivi;

Mathayo 5:43-44. Mmesikia kwamba imenenwa, umpende jirani yako, na umchukie adui yako; 44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi.

Ila sijui wenzetu wa upande wa pili wamefundishwa nini kuhusiana na upendo?!
 
Upendo wa kufundishwa ni wa kinoko....upendo huja automatically...
 
Mathayo 5:43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;

44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,

45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.

46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?

47 Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo?

48 Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.

(Sisi tumefundisha kuwapenda hadi wanao wadhihaki mitume wetu na sio kuwachinja kama hao wengine)
 
Amina
 
Na mlifundishwa vipi kuhusu mapenzi ya jinsia moja na kula nguruwe ni kitabu gani kilihalalisha huo ubarazuli

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Kinachotakiwa ni upendo, hizi dini ni ukoloni tu. Mtu unatishiwa na moto wa milele ili uamini, huo sio uhuni? Upendo upo ndani ya moyo wako, hufundishwi.
 
Back
Top Bottom