Mathayo 5:43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;Upendo wa kufundishwa ni wa kinoko....upendo huja automatically...
AminaMathayo 5:43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;
44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?
47 Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo?
48 Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.
(Sisi tumefundisha kuwapenda hadi wanao wadhihaki mitume wetu na sio kuwachinja kama hao wengine)
Mume wenu anawaita kwanza huko Yeremia 3:14 SRUV Rudini, enyi watoto wenye kuasi, asema BWANA; maana mimi ni mume wenu;Neno UPENDO halipo huko unako uliza.
Kitabu kizima hakina neno Upendo.
Wala Pendaneni.
Hivi unajua maana ya neno mume au unajisemea tu waislam akili zenu ninyi mmmMume wenu anawaita kwanza huko Yeremia 3:14 SRUV Rudini, enyi watoto wenye kuasi, asema BWANA; maana mimi ni mume wenu;
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mume ni mume tu mkuuHivi unajua maana ya neno mume au unajisemea tu waislam akili zenu ninyi mmm
Umeolewa?