Wakristo: Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke

Sikupingi hata kidogo mkuu ila mbona huku nilipo kuna watu bado hata hawajasikia jina la huyu Yesu, nikiwa na maana ya kwamba iliandikwa kuwa kila kiumbe lazima kiwe na taarifa hii
Ni lazima tujue majira Na Nyakati hao ambao hawajapata usishangae Leo neno likawafikia kesho Yesu akaja.

Hata hivyo ni juu yako ww kutengeneza wewe na Mungu na kuwahubiriwa wale ambao Bado hawajamjua
 
acha mibangi yako hicho kinachoendelea hapo mashariki ya kati ni sababu ya kuwa na binadamu wajinga na uncivilized haiwezekani mkakubali kuumiza maelfu ya watoto na wanawake kwa sababu ya vitabu vya dini vilisema hivi..stupidiii!
Nafikiri ni Bora kusoma zaidi na kufanya tafti kuliko kuja kuandika hapa kwa Mihemko.

Pole sana hata hivyo Bado una Mda Mkiri Yesu awe BWANA na MWOKOZI katika maisha yako.
 
Ahsante sana Kwa kazi hii nzuri. Umeikumbusha roho yangu kutulia katika Bwana
 
Maswali yako tayari Yana majibu kwenye Biblia.
Na Mungu anasema hivi mambo yote yatapita lakin Neno lake litasimama ambayo ni Biblia.
Kwaiy Mkuu maswali ukimulza Mungu yeye atakuambia Kuwa Biblia hii hapa soma na ndo atatumia kuhukumu.

Kukatisha Story majibu ya maswali yako yapo Mwanzo kuanzia Sura ya kwanza tangu uumbaji mpaka Uasi wa Mwanadamu na Kusababisha mateso haya yote.
Nafikiri soma kitabu Cha mwanzo Chote utapata majibu ya maswali yako.
 
kuna uamsho mkubwa sanaaaaa unakuja soon hao ambao hawajafikiwa na injili ya kweli ya Yesu Kristo watafikiwa wote wa kuokok wataokoka wa kumkataa Mungu watamkataa then ndo sasa unyakuo utatokea
 
kimaandiko hekalu la 3 linajengwa wakati gani baada ya kanisa kuwa limeshanyakuliwa au kabla halijanyakuliwa?
 
Unaweza nionyesha huo Uzi wako niusome.

Kingine Yesu alibatizwa na Yohana siyo huyo mtawala wa Kirumi
Sikusema alibatizwa na Tiberius, bali nimesema alibatizwa mwaka wa 15 wa utawala wa Tiberius
Nakurushia screen shots, ila nakupa homework ya kutafuta mwenyewe Tiberius alianza kutawala lini.
 
Ujumbe mzito sana huu ubarikiwe sana mtumishi[emoji120]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
acha mibangi yako hicho kinachoendelea hapo mashariki ya kati ni sababu ya kuwa na binadamu wajinga na uncivilized haiwezekani mkakubali kuumiza maelfu ya watoto na wanawake kwa sababu ya vitabu vya dini vilisema hivi..stupidiii!
Hao watoto ndy ma terrorist wa baadae mbwa wewe

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hadithi za abunuwasi...πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜ΉπŸ€£πŸ˜ΈπŸ€­
 
Yesu hatorudi, kama angekuwa wa kuja/kurudi angesharudi zamani sana enzi za machafuko na enzi za kupigwa kwa hao waisrael feki kule ujeruman na bwana hitra.

Mtasubiri sana na mtangoja sana huyo yesu hatokuja, kwanini nasema hatorudi? , kwa sababu Injili ya Yesu haina sifa ya kuokoa ulimwengu wala kuuadhibu/kuhukumu dunia kwakua hii dunia ina maelfu ya dini/miungu ambayo watu wanaabudu nje ya ukristo, pili kuna idadi kubwa ya watu ambao hawaujui huo ukristo na hawana muda nao hawa nao Yesu akirudi atawahukumu vip maana hawajawai kufikiwa na hiyo injili yenu ya ukristo.

Hii dunia ni kubwa msijidanganye tu ukitoka nje na kufika mijini kwamba dunia ndio imeishia hapo, kuna maelfu ya jamii ambazo kwa tamaduni zao hawajui hata kama kuna kiumbe kinaitwa yesu zaid ya kusikia ktk media ama sherehe za Christmas.

Pili huyo yesu hatorudi kwa maana hakuna mfuasi wa yesu hata mmoja anaejua yesu yuko vipi, hata uwe wewe huwezi kusema unarudi mahala ambako hukumbukwi wala hujulikani, hakuna hata mmoja anaejua yesu anaonekana vip, zaid ya kusingizia sijui Yesu ni roho sjui vitu gan na sababu za kijinga, Yesu hata akirudi leo hii hakuna hata mmoja atakaemtambua maana aliacha utata wa muonekano wake, utata wa jamii yake na uhalisia wake, akija leo hii walokoloe ndio watakuwa nambari moja kumsurubisha maana watadai sio yule waliyeamini ndiye.

Walokole wote pamoja na wakristo wanajua Yesu ni aina ya kiumbe fulani cha kutisha chenye muonekano wa mzungu/mwarabu akiwa ktk mavazi ya kanzu/ muonekano ambao watu wamejazwa na media/movies/katuni za roman church.

Hivyo ndivyo watu wanamsubiri yesu wa aina hiyo ambaye kiuhalisia hajawai kuwepo, hivyo mtamsubiri sana na hatorudi maana hana existence yoyote dunian kulingana na mawazo+fikra zenu.

Mambo ya mwisho wa dunia hayawezi kuwa predicted na vita za wazungu+waarabu maana mara nyingi hizo vita zinatengenezwa kwa maslahi mapana ya wajanja wachache wenye ajenda zao za kiuchumi+kisiasa.

Dunia itakuwa predicted kuwa inafikia mwisho pale tu matukio ya kufutika kwa Asili ya dunia yatakapotokea, na matukio hayo hayawezi kuonekana hiyo israel ya uongo iliyoundwa na wazungu.

Muda bado msiwatishe watu, dunia bado ina safari ndefu sana, hakuna mwisho utakao tokea hivi punde bali kuna maisha marefu, msitishwe na hayo matukio ya wagomvi wa hapo middle east na vurugu zingine dunian.
 
Dini imefeli pakubwa mno kwasababu ya vitisho.

Mungu anaruhusu watu wake aliowaumba kumwagana damu, kusababishiana ulemavu, watoto kutaabika na mabaya chungu nzima , yeye anatazama tu!!?

Sipendi vitisho
 
Sijasoma ila najua ni pumba tu za mtu mweusi na viimani vinavyowafanya kuwa masikini wa kutupwa kwa kushikiwa akili na wajanja waliowaletea hizi ngano za kusadikika ili wawatawale....
 
Mpfyuuuuu. Ngoja niondoke kabla ya kutapishwa bure na huu ushuuuzi na utopoloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…