vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Ukifuatilia wakrsto wachache wanaoishi somalia ni kama wapo kifungoni hawana amani wameathirika kisaikolojia kutokana na uchache wao ambao ni chini ya asilimia 5 wengi wao wanasali nyumbani kuepusha kulipuliwa wakiwa kwenye nyumba za ibada wanalazimishwa kwa makusudi na dola na umma kuwa watumwa.
Ukirudi pia hapo Zanzibar kwa uchache wao wapo kwenye mtanziko mkubwa wakipitia dhuluma mbalimbali za kisaikolojia, wanabanwa kwa mambo mengi sana wasifurukute. Kauli km tuwafute kwa kuoa mabinti zao ni kawaida.
Kwa mtazamo wangu waamini wa kikristo kwenye hizi nchi wanaishi kwenye ulimwengu wa mateso makubwa pengine kuliko hata baadhi ya nchi za Kiarabu.
Tuwasihi watu wa imani kuheshimu kila imani ya mtu bila kujali uchache wao au kisingizio kingine chochote.