Serious kabisa, mi nipo unguja hapa tunapitia wakati mgumu kweli. Kwa mfano kama upo zako barabarani ukiwa umeshikilia biblia mkononi unaenda kanisani ukisimamisha daladala baadhi ya madereva wanakupita tu hata kama gari haijajaa
acha kuwa na inferior complex mkuu.