Serious kabisa, mi nipo unguja hapa tunapitia wakati mgumu kweli. Kwa mfano kama upo zako barabarani ukiwa umeshikilia biblia mkononi unaenda kanisani ukisimamisha daladala baadhi ya madereva wanakupita tu hata kama gari haijajaa
Jipe moyo..ni haki yako kujifariji...watu wameanza kufunguka na wengi wanaukimbia uislamu.Yni m kila siku zikienda nazidi kuwashusha hawa wanocomment kuhusu Uislamu
Inshort we hata uchukie,unune mpk uvimbe UISLAMU utafuatwa popote pale tena jiangalieni vizuri huenda kwenye familia zenu wapo waloslimu ila hawataki kuwaambia.
Yni hili jukwaa la JF full dhihaka kwa Uislamu lkn bdo unapeta tu na kukua kadri siku zinavokwenda
acha kutunga story lete ushahidLabda tujifunze kwa waislam wanaoishi Ulaya na Marikani.
Ingawa nao wanabaguliwa na kudharauliwa, wakati mwengine wakezao hunyanyaswa au hushambuliwa kwa kuvaa tu hijabu.
Hadi wazungu nao na wale wenyeji wenye siasa kali sikuhizi wanasilimu
huwa mnalalamika bila ushahid , mara mfumo kristo wakat kiongiz ni muislamInawezekana ni kweli chuki ya Waislam kwa Wakristu ni kubwa zaidi lakini maranyingi huwa hatuoni kama shida hii Waislam wanaipata pia kwenye nchi nyingi sana, tumekuwa tukiwabeza za kuona wanapenda kulalamika kila walipodai haki yao ya kuabudu. Kuna matukio machafu sana wamefanyiwa Waislam na dunia imekuwa kimya sababu machungu yao hayatuhusu.
Kuna miaka Spain iliua Waislam kwa wingi ili kuwafuta kabisa na kuwalazimisha kubadilisha dini na juzi tu hapa Waislam wa Rohingya wametendewa hayo hayo lakini hatuna hata habari ya kujua haya sababu Waislam ndio wanaongoza kwa chuki dhidi ya wengine wanapaswa kutendewa haya!
*The universe is based on a fair exchange. What you give you will get. As long as karma exists, the world changes.
View attachment 2329101View attachment 2329102
hahahaaaaaKaka,Mimi sio mvaa Kobadhi lakini nimevaa yeboyebo,embu naomba uniombe samahani.
jiulize kwann waliuawa ? wao walikuwa wanaua wengine eti wanapigania sharia , ulitaka waachwe ? the same huko india mliigawanya India mkidai mnataka kubakia wa dini moja mlipewa Pakistan bado hamkuridhika mmeanza kwenda kujazana huko India ili next time mdai sehem nyingne ya IndiaSio wote wenye ubaguzi ila kuna sehemu duniani wanajua dini yao tu ndio bora
Rohingya genocide tunaikumbuka vizuri
Hata kuna sehemu kama Scotland ukijichnaganya na kanzu unamwagiwa pombe (nimeshuhudia kwa macho)
Sio wote wabaya bali pia wapo pande zote
duh akili kisodaMmefika kwenye nchi ya watu fuateni utamaduni wa wenyeji mliowakuta mmekaribishwa kuishi mnataka mfuge mpaka nguruwe mtembee uchi ndio mnaita uhuru mnaonyimwa mkimisi kutembea uchi rudini huku dsm mtembee uchi kutwa nzima hakuna atakae wauliza
jiulize kwann waliuawa ? wao walikuwa wanaua wengine eti wanapigania sharia , ulitaka waachwe ? the same huko india mliigawanya India mkidai mnataka kubakia wa dini moja mlipewa Pakistan bado hamkuridhika mmeanza kwenda kujazana huko India ili next time mdai sehem nyingne ya India
Kaka hii si kweli. Je una ushuhuda? Takwimu niliyokuta inasema asilimia 3 za familia za Kiislamu za Lebanoni zilikuwa na wake 2 au zaidi. (ona Lebanon - Marriage)Lebanon walihimizana kuwaoa wake wanne ilikuwa lazima
Samahani mkuu unamaanisha uhuru wa aina gani? Ukiwa Mwislamu wa madhehebu yanayochuukiwa una uhuru zaidi katika nchi hizo kuliko nyumbani kwako. Mjini Tehran (Iran, dini rasmi ni Islam ya Kishia) hakuna msikiti ya Wasunni. Wasunni Wairani wanaweza kujenga msikiti Uingereza, Marekani na kadhalika.Wakristo hupenda kuwasakisia waislamu kwa matendo haya. Bila kujiangalia wao katika Nchi za wakristo wengi. Waislam wakiwa wachache. Nchi kama Ufaransa, Austria, poland, spain, italy, usa, mexico, Brazil, denmark, na Ureno. Waislam ambao wako kwenye hizi. Nchi wanaishi kwenye hali isiyo na uhuru.
Wenye chuki ya kikweli kweli dhidi ya Imani ya wenzako watapita kimya kimya kama vile hajaiona hii post yako.Inawezekana ni kweli chuki ya Waislam kwa Wakristu ni kubwa zaidi lakini maranyingi huwa hatuoni kama shida hii Waislam wanaipata pia kwenye nchi nyingi sana, tumekuwa tukiwabeza za kuona wanapenda kulalamika kila walipodai haki yao ya kuabudu. Kuna matukio machafu sana wamefanyiwa Waislam na dunia imekuwa kimya sababu machungu yao hayatuhusu.
Kuna miaka Spain iliua Waislam kwa wingi ili kuwafuta kabisa na kuwalazimisha kubadilisha dini na juzi tu hapa Waislam wa Rohingya wametendewa hayo hayo lakini hatuna hata habari ya kujua haya sababu Waislam ndio wanaongoza kwa chuki dhidi ya wengine wanapaswa kutendewa haya!
*The universe is based on a fair exchange. What you give you will get. As long as karma exists, the world changes.
View attachment 2329101View attachment 2329102
uongo uliokithiri!Lebanon walihimizana kuwaoa wake wanne ilikuwa lazima
nimekuta pia Military chaplain Mwislamu katika jeshi la Uingereza ana itwa Flight Lieutenant Ali Omar, kiasili mwenyeji wa Mombasa aliyehamia Uingereza.Samahani mkuu unamaanisha uhuru wa aina gani? Ukiwa Mwislamu wa madhehebu yanayochuukiwa una uhuru zaidi katika nchi hizo kuliko nyumbani kwako. Mjini Tehran (Iran, dini rasmi ni Islam ya Kishia) hakuna msikiti ya Wasunni. Wasunni Wairani wanaweza kujenga msikiti Uingereza, Marekani na kadhalika.
Ukiwa Shia uko hatarini kwenye nchi kama Afghanistan na Pakistan, mabomu yanategwa katika misikiti yao mara kwa mara. Washia kutoka huko huwa na msikiti yao wakihama Ulaya, wakiishi salama.
Nchini Austria Uislamu ni dini inayotambuliwa na serikali tangu zaidi ya miaka 100. Raia waislamu wa Austria wakiingia jeshini wana haki kupata chakula halal , jeshi linamwajiri imamu 1 kwa wanajeshi Waislamu.
Nimekuta Jeshi la Ufaransa lina maimamu 8 kwa wanajeshi Waislamu.
Nchini Ujerumani Waislamu Waalawi wana haki ya kuwafundiiha watoto dini shuleni ilhali walimu wanalipwa na serikali (kama wako wanafunzi Waalawi wa kutosha). Pale Uturuki ambako familia zao walitoka kiasili, haiwezekani kuwafundisha watoto mafundisho ya dhehebu lao.
Kuchoma misahafu hadharani je? Hata hiyo hujawahi kusikia au kuona kwenye vyombo vya habari?Muslim wana mambo za kipuuzi sana mbina sijawahi sikia Christians wanawapiga waslam? Kuchoma nyumba zao za ibada🤔