Hatushangai nyinyi mliorithi ushetani Toka kwa Baba yenu Allah ambaye ndiye SHETANI MKUBWA kabisa mwenyeweMuongo mumeo.
We unajua nini kuhusu Scotland?
Unaishi ukerewe , kanisani hapo hapo ukerewe.
Huyo Prime minister wa Scotland unajua history yake mpk uandike upuuzi huu?
Uislam wake unahusiana nini na Chama alichokuwepo kutoka kijana mdogo?
Kwanini wagalatia hampendi kuuliza km hamjui?
Kasome historia ya pilau. Ni msosi wa wahindi huo. Uarabuni hakuna viungo. Ndiyo maana Columbus alikuwa anasafiri kwenda India kufuata viungo, vingekuwepo Uarabuni angevuka tu Mediteranea na kuvifikia.Sasa nani asiejua hilo?
Tatizo uwezo wako wa kuelewa mdogo Sana.
Nani kuongelea MCHELE HAPA?
Ngoja nikupe darasa km mtoto wa darasa la pili.
CACAO zinalimwa Ghana na Nigeria lkn CHOCOLATE wanatengeza WAZUNGU NA MATAIFA YA ASIA.
Na Hapo Nigeria au Ghana Kitu kiitwacho CHOCOLATE walikuwa hawakitambui kwa miaka mingi sana. Na mpk leo CHOCOLATE zao wanaagiza Nje.
Km bado hujaelewa katafute kiroba upate usingizi.
Wacha kubusu jiweAbdool! Mbusu jiwe embu punguza makasiriko na usome kwa kutulia
Aya: - "Nyinyi (Waislam wa kweli) ndio watu bora kabisa waliowahi kati ya wanadamu." inamaanisha, watu bora zaidi kwa watu, kwani unawaleta na minyororo kwenye shingo zao wale wasio amini hadi wataukubali Uislamu.
Vol. 6, Book 60, Hadith 80
Abdool! Mbusu jiwe soma tena bila makasirikoNa Andiko linatuhimiza kufanya hivi.
Yesu ALIKUFA KIFO CHA LAANA pia utamuita SHETANIHatushangai nyinyi mliorithi ushetani Toka kwa Baba yenu Allah ambaye ndiye SHETANI MKUBWA kabisa mwenyewe
View attachment 2879893
Mbuzi huyoYesu ALIKUFA KIFO CHA LAANA pia utamuita SHETANI
Bwana Yesu anasema ktk
LUKA 19:27
Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa MWACHINJE mbele yangu.
Na Akahimiza ktk MATHAYO 10:34 Kuwa " Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali UPANGA. Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake.
Na akatoa AMRI kwa wafuasi wake wote kwenye
LUKA 22:36 Na KAHIMIZA WAFUASI WAKE KWENYE LUKA 22:36
Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na UPANGA, na auze joho lake akanunue.
Kwahio KUUA KWA UPANGA NA KUCHINJANA tumefunzwa na BIBLIA .
Hamza kuchaguliwa kwake amefika kwa kusoma na kuingia siasaMuongo wewe. Scotland mpaka wamemchagua Muislam tena mwenye ndugu Gaza kuwa Prime Minister?
Acahana nae huyo mtoto asiejua kituMuongo mumeo.
We unajua nini kuhusu Scotland?
Unaishi ukerewe , kanisani hapo hapo ukerewe.
Huyo Prime minister wa Scotland unajua history yake mpk uandike upuuzi huu?
Uislam wake unahusiana nini na Chama alichokuwepo kutoka kijana mdogo?
Kwanini wagalatia hampendi kuuliza km hamjui?
Teh teh teh
Tungekuwa na Stress MISKITI INGEZIDI KUONGEZEKA HUKO ULAYA?
We unajua Namna Waislamu tulivyo. Hakuna lelemama hapa.
Ukileta ujinga tunakula na wewe bakuli moja fasta .
Matajiri wakubwa hapa Nchini na Duniani ni WAISLAMU.
Sasa km Stress ina faida zote hizo hata mimi naitaka .
We jidanganye una furaha kwa kuimba kwaya. Unakula mihogo mikavu. Mtoto una miaka 20 umekakamaa km una miaka 70.
Una copy and paste story za udaku bila kuelewa maana.
Kifupi sio ruksa KAFIRI yyt kujenga MAKANISA ktk Ardhi takatifu ya Kiislamu.
Na vile vile ni marufuku Muislamu kujenga MSIKITI kwa waabudu sanamu VATICAN.
Hapo shida iko wapi?
Makafiri wanakaa Kwao.
Na Waislamu wakae kwao.
We unalazimisha wala nguruwe wakajenge Makkah au?
Yaani nyie viumbe mtihani mkubwa sana
Muhammad said
I will expel the Jews and Christians from the Arabian Peninsula and will not leave any but Muslim. Sahih Muslim 1767a
Hoja za kinyonge sana hizi.
Kwa hiyo tuanze kubomoa misikit na makanisa bongo na Afrika kwa ujumla. Maana si kwao.
Kwenda kwako usiwatishe na kujifanya unajua zaidi kuhusu nchi hizo kupita wengine. Siku hizi mtu anaweza kuwa hapa hapa nchini na akawa well informed kuliko wewe uliyeenda huko. Mfano tu Kuna watu wameenda kusoma huko, lakini wasijue kiingereza vizuri na wanapitwa na watu waliokuwa hapa hapa nchini.Hamza kuchaguliwa kwake amefika kwa kusoma na kuingia siasa
Hata Sunak ni mhindi lakini haiwafanyi wananchi wote wawe wema
Huu ni mjadala huru tusiitane waongo
Mimi nimeenda Scotland mara kibao tena kikazi sio wote wabaya ila kuna ubaguzi pia
Nilifika kijiji kimoja huko ubaguzi upo nje nje
Maisha nimeyaona sana
Hata huko mbona kuna ubaguzi mkubwa sana au hujasoma nyuzi kuhusu Mkuu wa Majeshi na comments za wadau?
Ubaguzi upo kila mahali na kuchagua viongozi ni tofauti
Unajua Hamza alianza wapi kwenye siasa mpaka kafika hapo
Unajua kuna waislam wangapi ni ma meya 🇬🇧
Serikali haikubali ubaguzi huku ulaya ila wapo wananchi wabaguzi kila mahali duniani
Wao wanabagua wasio wao ila nyie mnabaguana wenyewe kwa wenyewe hilo vipi
Jifunze kuchangia mijadala bila kejeli grow up
Asilimia kama sio 70 basi 80 ni waislamu, dar tu peke yake ni jiji la waislamu, bado pwani yote+tanga, singida, tabora, kigoma, Zanzibar n.k
Fikiri kabla hujacomment
Watu wa Kristo wana furaha kwa sababu wamefundishwa kusamehe na kusahau, lakin wafuasi wa mud, wamefundishwa kuweka kinyongo, kisasi na shirki. [emoji58] yaani ndo maana kazi yenu kuloga tu. Hamna anayewaza maendeleo.
Tazama huyu kondoo wa Gwajima.Hoja za kinyonge sana hizi.
Kwa hiyo tuanze kubomoa misikit na makanisa bongo na Afrika kwa ujumla. Maana si kwao.
Mgalatia ubishi ni ibada kwako.Kwenda kwako usiwatishe na kujifanya unajua zaidi kuhusu nchi hizo kupita wengine. Siku hizi mtu anaweza kuwa hapa hapa nchini na akawa well informed kuliko wewe uliyeenda huko. Mfano tu Kuna watu wameenda kusoma huko, lakini wasijue kiingereza vizuri na wanapitwa na watu waliokuwa hapa hapa nchini.
Mm namjua vizuri kupita wewe huyo Humza Yousaf, na nikwambie mkewe ni mtu wa Gaza, chama chake SNP=Wabunge wa SNP hawakuwa na ubaguzi. Pia mayor wa London (Labour) wazungu walimchagua
Sasa wewe nambie nchi zenu za Kiislam, uliisha sikia Kuna Mkiristo anachaguliwa nafasi za huko juu. Palestina wako wakiristo lakini mnawatesa mpaka wanakimbia. Iraq, Yemeni, Jordan, Iran, Pakistan, Malasya, Turkey Indonesia kote huko mnawabagua na kunyanyasa wakiristo.
Waislam mnakera ndiyo maana pale zinapopatikana taarifa za machafu yenu mnayofanya tunayatapika humu mwenye social media
Abdool! Mbusu jiwe kwanza punguza makasiriko, na uwa nawaambia wabusu jiwe kabla hujarusha povu soma kwanza ueleweNjoo kwenye UISLAMU.
HUKU HAKUNA KUBEBESHANA MADHAMBI KIPUMBAVU.