Wakristo, waislam, walevi, maDJ na wezi muwe watulivu wakati NEMC wakifanya kazi yao halali

Hama kam Hama kama huwezi kuendana na wenyeji hapo hami Kigamboni au mwituni ukapumzike. Bila hizo kelele za muziki na bar huo si mji ni nyumba za kulelea mapdri wastaafu.
When in Rome live like the Romans
 
Na vipaza sauti vya WAISLAM yaniii vikifunguliwa basi huwezi pata usingizi Tena. Navyo vizuiliwe kabisaa.
Hawa ndio KERO kubwa kuliko zote hapa nchini. Wanatuwashia maspika pembe zote za dunia utadhani kila mtu ni mwislamu. Kwanini wasiwahimize wafuasi wao wanunue saa na simu wawe wanaweka alarm zinawaamsha asubuhi na kuwambusha muda wa ibada unapowadia? Kama vipi basi wapunguze idada ya swala walau zibaki mbili kwa siku; swala tano zinatuchosha kwa kelele. Wanakera sana aisee!
 
Hama kam
Hama kama huwezi kuendana na wenyeji hapo hami Kigamboni au mwituni ukapumzike. Bila hizo kelele za muziki na bar huo si mji ni nyumba za kulelea mapdri wastaafu.
When in Rome live like the Romans
Kuna mahali ambapo unaweza kuhamia usiwakute waislamu na mispika yao mkuu? Labda niihame dunia.
 
Hawa jamaa yaani wanatusumbua sana na mikelele yao hapa mtaani. Serikali isipowachukulia hatua, wananchi tutajichukulia wenyewe sheria mkononi. Tumechoka.
Chomen moto hizo spika
 
Mtaani kwetu kuna shehe mmoja alikuwa anaanza kupiga kelele kuanzia saa 9 usiku! Hata waislamu wenzake walimkataa. Walimfukuza.
 
Asante KKKT kwa kuonesha njia. Bado hii misikiti ya BAKWATA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…