Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Bro jibu lao lilikuwa nini?
Kitabu chao kimeshushwa kwa lugha ya Mwenyezi Mungu na hakuna koloani iliyoandikwa Kiswahili na ile lugha ya iliyoandikwa kwenye Koloani siyo lugha ya Kiarabu eti ata ukimchukua Mwanafunzi wa Chuo uko Saudi Arabia kama hajajifunza Dini ya Kiislam hata weza kusoma Koloani.
 
Acha panic kwani huko Marekani na Ulaya unapo sema wameendelea hakuna masikini?
Utajiri wa hao matajiri hauna manufaa kwa waisilam tu bali kwa waTz wote akiwemo ww maana wao ndo walipa kodi wakubwa wanao ifanya serikali yako iweze kuiendesha nchi yako.

Nyinyi si huwa mnashinda humu mnatamba ya kuwa mmesoma na mna akili na waisilam ni vilaza hawana elimu, lakini cha kushangaza hamtumii elimu yenu mnayo jitapa nayo kuifanya nchi iendelee badala yake waisilam wasio kuwa na elimu ndo wanajitutua kuanzisha viwanda, makampuni, kuwekeza kwenye michezo, wakati nyinyi wasomi mpo tu kazi yenu kufanya uchawa ili muendeshe maisha yenu.

Kila siku kuanzisha nyuzi mara waisilam hawana elimu ,mara masikini , lakini cha kushangaza kwa mujibu wa takwimu za serikali kati ya mikoa 10 iliyo jaa umasikini ulio kithiri 7 ni mikoa walipo jazana wagaratia, mikoa iliyo jaa utapiamlo kwa sababu ya njaa yote ni ile iliyo jaa wagaratia.
 
Quran 18:86 "Hata alipofika machweo ya jua, alikuta linazama katika chemchemi yenye matope." Sasa kama sio uwongo kuna chem chem ya matope ambapo jua linazama?
Dhu al-Qarnaiyn [Zul Qarnain] "alishuhudia kuzama kwa jua kwenye sehemu yake ya kupumzikia kwenye bwawa lenye ute mweusi na wenye harufu mbaya sana." al-Tabari juzuu ya 5 uk.173-174 (Tazama Sura 18:82-97).

al-Tabari juzuu ya 1 uk.234 pia inasema kuwa jua huzama kwenye chemchemi yenye matope. Msemo "yenye matope" ni hami'ah, unaomaanisha udongo mweusi wa mfinyanzi, lakini hamiyah ni neno lenye kufanana nalo linaloweza kumaanisha kitu cha moto. (Tazama rejeo la 442 chini ya uk.234).
 
Allah akuongoze uijue haki na akuondolee upofu wa moyo.
 
Duu, ujinga ni mzigo wa kuni. Yaani kuwa na jina la asili yenu wanakushangaa lakini ukiwa na jina la kiarabu wanakuona wa ajabu.
Swali langu ni hivi ukiwa na jina la asili yako, huwa hutambuliwi katika uislam?
Tafadhali Bwana Utam

Duu, ujinga ni mzigo wa kuni. Yaani kuwa na jina la asili yenu wanakushangaa lakini ukiwa na jina la kiarabu wanakuona wa ajabu.
Swali langu ni hivi ukiwa na jina la asili yako, huwa hutambuliwi katika uislam?
Tafadhali Bwana Utam
Kidini ni Ngumu kukubalika mfano ndiyo maana Kwenye ukristo kuna ubatizo kama mtoto umempa jina la Mabula inabidi jina ubatizo umchagulie jina la ubatizo la Kizungu mfano Petro au Yohana, Kwa Uislamu ukizaa mtoto ukimuita Mwita ataoneka siyo Muislam ni kafiri ili aonekane Muislam lazima umuite Yusuph, Sharif, Hemed, Said.
 
Allah akuongoze uijue haki na akuondolee upofu wa moyo.
Simtambui allah kwa sifa za mungu wenu mimi siwezi kuwa mfuasi wake. Wa kuzwadia watu 72 bikra kwa kuuwa wenzao?muhamad huyu aliyetumwa akasilimisha majini yawe maislam?na akapewa wanawake wote aliojitwalia.
 
And yet Tanzania miji yetu ndio mnakuja Kutafuta pesa, Zanzibar, Dar na mikoa mingi tu ya Pwani ila kote huko mnaishi kwa amani
First of all,Tanzania hakuna mwenye mji wake siyo kwa kabila dini wala ukanda hao wapemba hapo kisiwani ndiyo wanajinasibu hivyo ila hapa bara ujinga huo haupo.

Kingine viongozi wa mwanzo nchi hii walikuwa na akili nyingi sana kiasi wakatufundisha itikadi zetu za kidini na kikabila tukae nazo mioyoni that's why hata wewe leo toka ulipo nenda mkoa wowote hakuna anayekuzingatia.
 
Therefore imekataa na au umekubali Nini? Just draw conclusion, ni kweli hiyo sehemu IPO?
 
Uelewa mdogo ni zao la ulokole.Ulokole ni aina ya ukichaa(fanaticus-latin term for madnes) unaohusisha kushikilia jambo pasipo kujua undani wake.Hebu tuone maneno yafuatayo yametumika katika mjadala: JINN(an Arabic term for spirit).Kuna majini wema na pia majini waovu(UISLAM).Kuna roho wema(holy spirits na evil spirits)-CHRISTIANITY.Kati ya pande mbili upi uko sahihi?Nafasi ya African spirits iko wapi?
 
Nadhani hujui unachokiongea,kwani majina kama Neema Baraka Faraja Tumaini tukiyataja kwa uchache hawabatizwi Wakristo?

Hata kwa waislam hapo umekosea (japo sina uhakika) nina jamaa zangu Amini,Imani,Baraka hawa unasemaje siyo waislam wakati wana-practice islam?
 
Kadhalika waislam waliotokea maneno ambayo waislam ni majority na mifumo Yao ya kitamaduni imemezwa na tamaduni za kiislam, Wana uelewa dunia ,finyu na potofu kuhusu wakristu na ukristu
Sio kweli napinga. Zanzibar kuna makanisa kibao saiv na waislam wala hawashugulik nayo kabis na wanaona kawaida Tu kujumuika na wakristo katika sehem za kijamii . Kwa mfano mikoa ya Pwani Kam Dar , Mtwar,Lindi , Tanga na Pwani yenyew zipo shule ambazo ni za kikristo ambazo Zinajiita sjui St.Mathew, St Mary, St Antony n.k ambazo Nowadays waislam wapo kibao wamewapelek watot wao wakasome na ikifik vipind vya dini wanakaa kando na Sik ya ijumaa wanaruhusiw kutok kwend kuswali fresh Tu. Kadhalika hata kwny Hospital za misheni waislam ni wateja wao wakubwa San mfano kuna hospital IPO kw buruda ni ya kikristo na vikindu pia. Waisalmu hawana shida kujumuika na wakristo katika sehem za kijamii. Lakin je ushawai kuwaona wakristo wakajumuika na waisalm katik sehm za kijamii katik Ukanda wenye wakristo Weng. Jibu ni hapan
 
Wakoloni walipandikiza chuki dhidhi ya waislamu kupitia kabisa sababu wakiona waislamu ndio kipinganizi kilichopo na kitakacho kua pingamizi kwa utawala wao.
 
Uongo uchumi wa Tanzania umeshikwa na Wahindi na Uchumi wa juu kabisa wameshika Wazungu.
Kwann ushikiriwe na wahindi na si nyinyi wagaratia mnao jinasibu kuwa na elimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…