Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Kwani wakristo ndo wakristu? Ukristo - ukristu?
Ni kitu kimoja au viwiili?
Kuna vitu nashindwa kuelewa kuhusu Waislam!
1. Kwa nini wanalazimisha Issa wao ndo Yesu wa Biblia wakati ni tofauti kabisa?
2. Kwa nini wanalazimisha kuwa Yehova ndo Allah?

Pia;
1. Kama pombe ni haram hapa duniani kwa nini wanaahidiwa pombe ahera?
2. Kama uzinzi ni dhambi hapa duniani kwa nini wanaahidiwa zinaa ahera?
 
Allah siyo Yehova, Allah ana majina 99 la Yehova halimo.
Issa Siyo Yesu ukitaka kuhakikisha mtafute mwislam anayeitwa Issa, umwite Yesu.
 
Kafugeni majini na kusubiri bikra 73😄 Yani Kuna vítu hâta mtoto wa memkwa anaweza kukushangaa,imagine una expect kupewa mito ya pombe na kufanya mapenzi peponi😄

Hahaha wivu tu ntakusemea kwa Mungu wako huyu

1733898483235.jpeg
 
Janga kubwa walilotuachia wakoloni ni ujinga unaoitwa DINI
 
Wewe unaelewa Nini Kuhusu kutumia jini kuiba nyaraka za mahakamani kama asemavyo alhaji Dr sulle?
Majini hutumika sana hata kwa njia za uchawi wala hakuna uhitaji kufuga ili ndio utumie jini, sasa mie nauliza huko kufuga jini ndio kukoje?
 
Back
Top Bottom