Wakristo wanaoishi Zanzibar nawashauri kufanya hivi kipindi Ramadhan

Wakristo wanaoishi Zanzibar nawashauri kufanya hivi kipindi Ramadhan

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.

Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.

Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.

Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.

Ukumbosho.

Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.

Ramadhani njema kesho inshallah
 
Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa
Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.
Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.
Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.
Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.

Ukumbosho.

Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.

Ramadhani njema kesho inshallah
mnafunga wakat mnaamka usku kula ??
 
mnafunga wakat mnaamka usku kula ??
Surah Al-Baqarah (2:187)
"Inaruhusiwa kwenu kula na kunywa mpaka usiku unaposhuka, na kula na kunywa mpaka upepo wa alfajiri unapoonekana. Kisha, kumalizeni saumu mpaka usiku."

Aya hii inaeleza wazi kwamba, kufunga kunahusisha kupunguza kula na kunywa kuanzia alfajiri ( wakati wa adhana ya Fajr) hadi jioni ( wakati wa adhana ya Maghrib). Hivyo, muda wa kufunga ni mchana tu, kuanzia alfajiri mpaka jioni.
 
Sio tatizo, wewe unadhani mtu na imani yake anataka akibadilisha ratiba ya kula anataka na wengine wasile mchana kama sio uchawi ni nini?

Hiyo ni itikadi kali
Mbona hu
Sio tatizo, wewe unadhani mtu na imani yake anataka akibadilisha ratiba ya kula anataka na wengine wasile mchana kama sio uchawi ni nini?

Hiyo ni itikadi kali
Nenda kale nje uonekane, kama hutorudi kwenu kwa miguu
 
Back
Top Bottom