Wakristo wanaoishi Zanzibar nawashauri kufanya hivi kipindi Ramadhan

Wakristo wanaoishi Zanzibar nawashauri kufanya hivi kipindi Ramadhan

Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.

Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.

Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.

Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.

Ukumbosho.

Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.

Ramadhani njema kesho inshallah
Halafu bado mnasema kuna muunganiko.. bulsht
 
Kwa kuwa zanzibar si nchi, ni sehemu ya Tanzania huo utamaduni wa kunyanyasa wakristo haukubaliki na italazimishwa iwe kama bara watu wanakula mchana peupe bila kificho tena kwenye viunga vya misikiti. Wabara waingie zanzibara kwa wingi ongeza na watalii wa nje ili tu kuuvuruga na kutfutilia mbali utamaduni huo wa kishenzi kunyanyasa raia wasioamini imani hiyo kulazimishwa kufuata utamaduni huo wa kufunga kula mchana
Hehehe 😂 makafiri bana hemu jaribu siku moja njoo kwenye hivi visiwa vitukufu afu kula mchana uone mvua ya viboko itakayo kuangukia naamini utakwenda kuwahadisia makafiri wenzako
 
huo ni wendawazimu, kwa hali hiyo umasikini utatokaje? Unafunga hotel eti ili upate thawabu unaacha kuuzia watu bidhaa upate fedha unasubiri jioni

hizo hoteli zinazofungwa wenyewe ni wazungu mkuu. Infact wazungu huwa wanaungua sana kipindi cha mfungo amoja na misimu ya mvua
 
Back
Top Bottom