Wakristo wanaoishi Zanzibar nawashauri kufanya hivi kipindi Ramadhan

Wakristo wanaoishi Zanzibar nawashauri kufanya hivi kipindi Ramadhan

Kuanzia kesho kafiri yoyote atayeonekana ana kula mchana hadharani kwenye visiwa vitukufu vya Zanzibar basi viboko vitamhusu natoa angalizo hatutokuja kumtizama mtu usoni tahadhari hii iwafikie makafiri watokao tanganyika,wabillahi tawfiq
 
Watu wanachezea sana bakora kipindi hiki

Ova

kuna watu huwa wanapenda kujifanya wabishi mkuu ndio yanawakuta, kama humu jamvini unawakuta wapo wanaosema yeye akenda atakula na hawezi kufanywa kitu. ndio kama hao yanaowakuta
 
Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.

Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.

Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.

Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.

Ukumbosho.

Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.

Ramadhani njema kesho inshallah
Hivi ili tujue MTU ana Imani inatakiwa awake?? Si ashinde majaribu?? Mbona jaribu dogo tu hilo linawashinda vipi uzinzi mtaweza kujizuia??
 
Wanaoishi huko wanasema sio sana, wengi wanafata maadili, wapo wachache wenye ubishi kama wa chadema na ccm, wanasahsu ktk dini hakuna demokrasia bali kuna sheria

wakristo ambao ni wa zanzibar hawana shida kabisa kwenye hili, ni taratibu ambazo toka wamezaliwa nazo na wakwenda nazo vizuri, shida inakuja kwa hawa ndugu zetu wagalatia wanahamia siku za karibuni ndio hujifanya wabishi.
 
Surah Al-Baqarah (2:187)
"Inaruhusiwa kwenu kula na kunywa mpaka usiku unaposhuka, na kula na kunywa mpaka upepo wa alfajiri unapoonekana. Kisha, kumalizeni saumu mpaka usiku."

Aya hii inaeleza wazi kwamba, kufunga kunahusisha kupunguza kula na kunywa kuanzia alfajiri ( wakati wa adhana ya Fajr) hadi jioni ( wakati wa adhana ya Maghrib). Hivyo, muda wa kufunga ni mchana tu, kuanzia alfajiri mpaka jioni.
Wapi wamesema wengine nao wasile hata Kama hawahusiani na utamaduni huu wa mashariki ya mbali?
 
Ila huko sio kufunga ni kushinda na njaa. Waislam wakat wa mfungo mnakuaga na heka heka za kutafuta watu wanaokula in public. Jiandae kufturisha maana ndio mwezi wenu wa kutamba huu
 
Sio muislam, ila mada hizi kila mfungo huibuka!!

Waacheni na mambo yao!

Mbona huku mabucha ya kitimoto mpk karibia na msikit na hawaongei!!
Kwani wana haki ya kuyavunja? Sheria inasemaje? Acha ubwege. Kila mtu aishi kwa ustaarabu na tamaduni za imani yake, hakuna aliye juu ya mwingine. Hata sisi atheists hatupendi kuingiliwa na hatupende imani moja iipangie imani nyingine namna ya kuendesha mambo yao. Kwa kifupi tusiingiliane na wala tusipangiane, it's a free country alimradi hauvunji sheria za nchi.
 
Wakristo warudi Tanganyika kipindi cha mfungo ila wale mchicha mwiba walio jazana humo wabaki tu kipindi cha mfungo🤔
 
Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.

Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.

Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.

Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.

Ukumbosho.

Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.

Ramadhani njema kesho inshallah
ZanzibAr sio nchi.
 
Ila huko sio kufunga ni kushinda na njaa. Waislam wakat wa mfungo mnakuaga na heka heka za kutafuta watu wanaokula in public. Jiandae kufturisha maana ndio mwezi wenu wa kutamba huu
Kila mtu abaki na utamaduni wake. Kama yeye anatakiwa kuacha kula na aache sio kulazimisha wengine nao wasile wakati wao hawakupata daku
 
kuna watu huwa wanapenda kujifanya wabishi mkuu ndio yanawakuta, kama humu jamvini unawakuta wapo wanaosema yeye akenda atakula na hawezi kufanywa kitu. ndio kama hao yanaowakuta
Atachezea bakora tu huko

Ova
 
wakristo ambao ni wa zanzibar hawana shida kabisa kwenye hili, ni taratibu ambazo toka wamezaliwa nazo na wakwenda nazo vizuri, shida inakuja kwa hawa ndugu zetu wagalatia wanahamia siku za karibuni ndio hujifanya wabishi.
Vipi kuhusu watalii?
 
Back
Top Bottom