Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaallahu AkbarTakbiiir
Watu wanachezea sana bakora kipindi hiki
Ova
Hivi ili tujue MTU ana Imani inatakiwa awake?? Si ashinde majaribu?? Mbona jaribu dogo tu hilo linawashinda vipi uzinzi mtaweza kujizuia??Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.
Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.
Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.
Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.
Ukumbosho.
Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.
Ramadhani njema kesho inshallah
Wanaoishi huko wanasema sio sana, wengi wanafata maadili, wapo wachache wenye ubishi kama wa chadema na ccm, wanasahsu ktk dini hakuna demokrasia bali kuna sheria
Wapi wamesema wengine nao wasile hata Kama hawahusiani na utamaduni huu wa mashariki ya mbali?Surah Al-Baqarah (2:187)
"Inaruhusiwa kwenu kula na kunywa mpaka usiku unaposhuka, na kula na kunywa mpaka upepo wa alfajiri unapoonekana. Kisha, kumalizeni saumu mpaka usiku."
Aya hii inaeleza wazi kwamba, kufunga kunahusisha kupunguza kula na kunywa kuanzia alfajiri ( wakati wa adhana ya Fajr) hadi jioni ( wakati wa adhana ya Maghrib). Hivyo, muda wa kufunga ni mchana tu, kuanzia alfajiri mpaka jioni.
Kwani wana haki ya kuyavunja? Sheria inasemaje? Acha ubwege. Kila mtu aishi kwa ustaarabu na tamaduni za imani yake, hakuna aliye juu ya mwingine. Hata sisi atheists hatupendi kuingiliwa na hatupende imani moja iipangie imani nyingine namna ya kuendesha mambo yao. Kwa kifupi tusiingiliane na wala tusipangiane, it's a free country alimradi hauvunji sheria za nchi.Sio muislam, ila mada hizi kila mfungo huibuka!!
Waacheni na mambo yao!
Mbona huku mabucha ya kitimoto mpk karibia na msikit na hawaongei!!
ZanzibAr sio nchi.Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.
Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.
Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.
Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.
Ukumbosho.
Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.
Ramadhani njema kesho inshallah
Ukikerwa na mtu kula hadharani kwa sababu zozote zile basi una matatizo ya akili.Lakini kwanini mtu ule hadharani wakati ukijua ni kero Kwa wengine,tuwe wastaarabu
Kila mtu abaki na utamaduni wake. Kama yeye anatakiwa kuacha kula na aache sio kulazimisha wengine nao wasile wakati wao hawakupata dakuIla huko sio kufunga ni kushinda na njaa. Waislam wakat wa mfungo mnakuaga na heka heka za kutafuta watu wanaokula in public. Jiandae kufturisha maana ndio mwezi wenu wa kutamba huu
Mambo ya ajabu sanaYani mtu ashindwe kula mchana kisa kuna mtu/kikundi cha watu kimeamua kushinda njaa kwa imani zao ??
Atachezea bakora tu hukokuna watu huwa wanapenda kujifanya wabishi mkuu ndio yanawakuta, kama humu jamvini unawakuta wapo wanaosema yeye akenda atakula na hawezi kufanywa kitu. ndio kama hao yanaowakuta
Vipi kuhusu watalii?wakristo ambao ni wa zanzibar hawana shida kabisa kwenye hili, ni taratibu ambazo toka wamezaliwa nazo na wakwenda nazo vizuri, shida inakuja kwa hawa ndugu zetu wagalatia wanahamia siku za karibuni ndio hujifanya wabishi.
Ukikerwa na mtu kula hadharani kwa sababu zozote zile basi una matatizo ya akili.