Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.
Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.
Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.
Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.
Ukumbosho.
Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.
Ramadhani njema kesho inshallah