Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Sadaka kwanza kwa mchungaji alafu maombi. bila sadaka auombewi.Hayo maombi Huwa ni Bure , au ni mojawapo ya biashara za wachungaji kujiingizia kipato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sadaka kwanza kwa mchungaji alafu maombi. bila sadaka auombewi.Hayo maombi Huwa ni Bure , au ni mojawapo ya biashara za wachungaji kujiingizia kipato
umeokoka vipiNaomba nitoe elimu kidogo: Kuna wakristo wasio wakristo, hawa hawaujui ukristo kwa maana ya kwamba hawana uhusiano binafsi na KRISTO. Wakristo wasio wakristo wanapotoa sadaka wanaamini wanampa/wanamfadhili mchungaji!! Wakristo walio WAKRISTO (waliookoka) wanapotoa sadaka wanajua wanamtolea Mungu na ndivyo ilivyo!! Wakristo wasio wakristo wamezaliwa na wazazi wakriso ambao pia wanaweza kuwa ni wakristo wasio wakristo pia!! Mkristo wa kweli ni yule aliyeokoka.
Kwani hizo hospital na shule ni bure? Kibaya zaidi hizo shule zina ada kubwa kuliko shule nyingi za binafsi. Wanachofanya wakristo ni ubepari.
Tunakataa upotoshajiFanyeni kazini Acheni kulalamika cha bure unakipata kwa Mungu peke yake tu
Hao wanaotumia mkate na kugawa silesi Moja Moja kwa waombaji siku ya ijumaa? Wenzako wanajenga shule na hospitali ili kulenga mahitaji halisi ya jamii. Kuna madhirika kama carnitas yanatoa msaada halisi kwa maskiniMakanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo. Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa, ni kweli makanisa yanajenga shule mpaka huko vijijini ila sihesabii kama msaada maana ni miradi ya kifaida, shule za kiristo ni kawaida sana kukuta ada ni milioni 3, vyuo navyo vipo vingi ni gharama kuzidi vya serikali.
Licha ya kwamba waislamu wengi ni maskini ukilinganisha na wakristo, Nimegundua waislamu hawatoi sana sadaka misikitini lakini huwa wanasaidia sana huku nje.
Nimewahi kupata shida ya maji na niliweza kuchota maji bure kabisa msikitini wiki nzima, kanisa waweza kukuta lina mabomba ya kutosha ila ni kwajili ya matumizi ya kikanisa tu.
Niliwahi kufikia sehemu sina pa kulala nilienda kanisani nikiwa muumini wa kanisa tangu mtoto lakini nilikataliwa kabisa, sehemu iliyonitunza ni msikiti,
Mwezi wa Ramadhani ule mwezi mzima ni kawaida sana kuwakuta waislam wanasaidia vyakula watu wenye shida.
Pamoja na mazuri haya kilichonitatiza kuhamia uislam ni dini ambayo ina baadhi ya sheria zenye mirengo mikali sana, hakuna free will uhuru wa kiimani kwamba unaweza kuchagua dini nyingine, kukariri koran na kuomba kwa lugha usiyoijua, mistari yenye kuchochoea chuki dhidi ya wasio waislam, n.k.
Hii ni hatariHuko Rwanda kwenye mauaji ya kimbali waliokimbilia msikitini walipona ila waliokimbilia makanisani waliuwawa hiyo imekaaje?
Umeyatoa wapi hayo maneno?!! Mkristo wa kweli ni yule aliyeokoka.
Mkuu ikiwa wewe ni Mkristo kweli nafikiri kuna kitu hukijui.Ni kheri kumsaidia mtu mwenye uhitaji kuliko kwenda kutoa sadaka yako sijui kwa mchungaji,kwanza ni ujinga sana,mtoa mada uko sahihi kabisa nakuunga mkono mimi niko kwenye haya makanisa nayaona mengi sana
Atakaye kujibu nistue.Kuokoka na nini
Kuokoka toka dhambini. Hivyo kuepushwa na hukumu ya Mungu dhidi ya wenye dhambi ambapo watatupwa katika jehanamu ya moto. Huko watateseka milele maana na hiyo ndiyo huitwa mauti ya pili. Ukiokoka unazaliwa mara ya pili na hivyo kuwa na nguvu ya kukataa dhambi.Kuokoka na nini
Warumi 10:9-12. "Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. ............."umeokoka vipi
tupe andiko
mi nasema hakuna mtu aliye okoka
Sio kweli,tunaona kilasiku wenye shida na mahitaji mbalimbali wakiombewa na wachungaji.
Warumi 10:9-10. Hapo kuna kanuni ya kuokoka! Ukristo wa mtu unaanzia kwa mtu kumkubali Yesu awe Bwana na Mwokozi wake kwa kufuata m.,aelekezo kwenye mistari hiyo, hauanzii kwa kuzaliwa na wakristo.Umeyatoa wapi hayo maneno?
Huo siyo sehemu ya Ukristo wa kweli1View attachment 2892898
Ona iyo mzee baba, ni khatari
Jibu tayari! fuatiliaAtakaye kujibu nistue.
Umewahi soma baibo?Kuokoka toka dhambini.