Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,204 Reaction score 61,081 Apr 19, 2025 #61 Otorong'ong'o said: Raisi wa Palestina Lazima awe Mkatoliki na waziri mkuu lazima awe Muislam... hivyo Palestina kuna waktoliki wengi tuu Click to expand... Lebanon sasa hiyo sio palestina
Otorong'ong'o said: Raisi wa Palestina Lazima awe Mkatoliki na waziri mkuu lazima awe Muislam... hivyo Palestina kuna waktoliki wengi tuu Click to expand... Lebanon sasa hiyo sio palestina
Pythagoras JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 2,425 Reaction score 6,384 Apr 19, 2025 #62 Webabu said: Maeneo mengine ya Gaza watu walikouliwa ni pamoja na kwenye mahema na magofu ya majumba watu walikokuwa wamejihifadhi ambapo jumla ya waliokufa inafikia 70 kwa siku hiyo moja ya Pasaka. Palm Sunday begins in Gaza with Israeli missiles on Christian hospital and church Click to expand... Source yako inasema Palm sunday (jumapili ya matawi) Wewe habari umeileta Pasaka πππ
Webabu said: Maeneo mengine ya Gaza watu walikouliwa ni pamoja na kwenye mahema na magofu ya majumba watu walikokuwa wamejihifadhi ambapo jumla ya waliokufa inafikia 70 kwa siku hiyo moja ya Pasaka. Palm Sunday begins in Gaza with Israeli missiles on Christian hospital and church Click to expand... Source yako inasema Palm sunday (jumapili ya matawi) Wewe habari umeileta Pasaka πππ
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,575 Reaction score 53,613 Apr 20, 2025 #63 Waislamu rudisheni watoto wa Wayahudi mnasababisha watu wa dini zingine wateseke kisa ugaidi wenu wa kiislamu
Waislamu rudisheni watoto wa Wayahudi mnasababisha watu wa dini zingine wateseke kisa ugaidi wenu wa kiislamu
Webabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2010 Posts 10,509 Reaction score 16,734 Apr 20, 2025 Thread starter #64 MK254 said: Waislamu rudisheni watoto wa Wayahudi mnasababisha watu wa dini zingine wateseke kisa ugaidi wenu wa kiislamu Click to expand... Watu wa dini ya kikristo wakipigwa wasiwalaumu waislamu.Ni wao wenyewe hawajijui.
MK254 said: Waislamu rudisheni watoto wa Wayahudi mnasababisha watu wa dini zingine wateseke kisa ugaidi wenu wa kiislamu Click to expand... Watu wa dini ya kikristo wakipigwa wasiwalaumu waislamu.Ni wao wenyewe hawajijui.