matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Wengi wameunganisha mioyo yao na Dini, madhehebu na viongozi wao badala ya Yesu waliompokea na Neno lake.
Utachelewa usiponielewa utakapogundua
Viongozi ni watu kuna wakati shetani atatumia vinywa vyao kusema lolote kama alivyomtumia Petro.
Dini au madhehebu ni vitu vizuri ila kuna wakati vitatumika kama mbeleko ya kubebea ajenda za kishetani.
Sasa kazi kwako,
Ushauri: Tumia Muda mwingi kumfahamu uliyemopokea na maneno yake kuliko waliokuunganisha na Yesu.