Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
2 TIMOTHEO 3:16-17.Haiwezekani. Madhehebu ndo ukristo wenyewe.
Wewe mwenyewe unaongea tu ila huwa unajisifia unajivunia kuwa msabato.
Kila dhehebu ni dini ndogo ndogo mnajifanya wote wakristo ila nyuma ya picha mnasemana.
Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;
ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.