matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
umenena vyema mkuuWengi wameunganisha mioyo yao na Dini, madhehebu na viongozi wao badala ya Yesu waliompokea na Neno lake.
Utachelewa usiponielewa utakapogundua
Viongozi ni watu kuna wakati shetani atatumia vinywa vyao kusema lolote kama alivyomtumia Petro.
Dini au madhehebu ni vitu vizuri ila kuna wakati vitatumika kama mbeleko ya kubebea ajenda za kishetani.
Sasa kazi kwako,
Ushauri: Tumia Muda mwingi kumfahamu uliyemopokea na maneno yake kuliko waliokuunganisha na Yesu.
Jipendekeze kwa Mwenye kanisa Yesu sio wanakanisa akiwemo na askofu wa Rumi.Kanisa ni moja, takatifu, Katoliki na la mitume.
Amina.umenena vyema mkuu
ubarikiwe
Wengi wameunganisha mioyo yao na Dini, madhehebu na viongozi wao badala ya Yesu waliompokea na Neno lake.
Utachelewa usiponielewa utakapogundua
Viongozi ni watu kuna wakati shetani atatumia vinywa vyao kusema lolote kama alivyomtumia Petro.
Dini au madhehebu ni vitu vizuri ila kuna wakati vitatumika kama mbeleko ya kubebea ajenda za kishetani.
Sasa kazi kwako,
Ushauri: Tumia Muda mwingi kumfahamu uliyemopokea na maneno yake kuliko waliokuunganisha na Yesu.
UJUMBE MZITO SANA HUUWengi wameunganisha mioyo yao na Dini, madhehebu na viongozi wao badala ya Yesu waliompokea na Neno lake.
Utachelewa usiponielewa utakapogundua
Viongozi ni watu kuna wakati shetani atatumia vinywa vyao kusema lolote kama alivyomtumia Petro.
Dini au madhehebu ni vitu vizuri ila kuna wakati vitatumika kama mbeleko ya kubebea ajenda za kishetani.
Sasa kazi kwako,
Ushauri: Tumia Muda mwingi kumfahamu uliyemopokea na maneno yake kuliko waliokuunganisha na Yesu.
Dini au dhehebu sio vitu vizuri!Wengi wameunganisha mioyo yao na Dini, madhehebu na viongozi wao badala ya Yesu waliompokea na Neno lake.
Utachelewa usiponielewa utakapogundua
Viongozi ni watu kuna wakati shetani atatumia vinywa vyao kusema lolote kama alivyomtumia Petro.
Dini au madhehebu ni vitu vizuri ila kuna wakati vitatumika kama mbeleko ya kubebea ajenda za kishetani.
Sasa kazi kwako,
Ushauri: Tumia Muda mwingi kumfahamu uliyemopokea na maneno yake kuliko waliokuunganisha na Yesu.
Mkuu hongera na kongole kwa hili utafika mbali na Mungu aendelee kukutunza na kutunza unachokielewa, umenipa mwanga wa kile nakisema kila siku kanisani kwangu kuwa inafika mahali tunamwabudu sana mchungaji wetu na huku Mungu hatumheshimuWengi wameunganisha mioyo yao na Dini, madhehebu na viongozi wao badala ya Yesu waliompokea na Neno lake.
Utachelewa usiponielewa utakapogundua
Viongozi ni watu kuna wakati shetani atatumia vinywa vyao kusema lolote kama alivyomtumia Petro.
Dini au madhehebu ni vitu vizuri ila kuna wakati vitatumika kama mbeleko ya kubebea ajenda za kishetani.
Sasa kazi kwako,
Ushauri: Tumia Muda mwingi kumfahamu uliyemopokea na maneno yake kuliko waliokuunganisha na Yesu.
Ni kama amelishwa maneno, hawezi kuongea mbofu namna hii.
Kikazi cha uvivu uvivu kinachosubiri kutafuniwa na kumezewa kila kitu kama Me wa Dar walioshindwa kutafuna hata miwa hadi watengenezewe juisi za miwa....[emoji851]Wengi wameunganisha mioyo yao na Dini, madhehebu na viongozi wao badala ya Yesu waliompokea na Neno lake.
Utachelewa usiponielewa utakapogundua
Viongozi ni watu kuna wakati shetani atatumia vinywa vyao kusema lolote kama alivyomtumia Petro.
Dini au madhehebu ni vitu vizuri ila kuna wakati vitatumika kama mbeleko ya kubebea ajenda za kishetani.
Sasa kazi kwako,
Ushauri: Tumia Muda mwingi kumfahamu uliyemopokea na maneno yake kuliko waliokuunganisha na Yesu.
Huyu mnafiki pia. Maana hata wao wachina wanadini zao Confucianism, Taoism, and Buddhism.
Watu wa hivi lazima wapigwe tu.Kikazi cha uvivu uvivu kinachosubiri kutafuniwa na kumezewa kila kitu kama Me wa Dar walioshindwa kutafuna hata miwa hadi watengenezewe juisi za miwa....[emoji851]
MITHALI 27:1-2.Sisi tunaomuamini Yesu Wala hatuna presha...
Kanisa ni miili yetu wenyewe na Yesu ndo anakaa ndani yetu...