Wakristo wengi watapata Frustration hivi karibuni kwa sababu ifuatayo...

Neno hili nalitoshe kuwafanya Wakristo wajitambue. Inasikitisha Leo viongozi wa Dini ndo wanaabudiwa
 
Okey,mie sio mzuri katika maandiko.
Tusifundishane dhehebu lipi ni zuri na lipi c zuri.
Kikubwa Iman uliyonayo juu ya uwepo WA Mungu.
Kama Kuna mahubiri ambayo utahubiriwa na kulazimishwa kufanya basi jiangalie.
Lakini unshubiriwa na unachambua ubebr lipi uache lipi hakuna haja ya kutangatanga.
Hakuna dhehebu ambalo mhubiri ni Malaika.
Yakuambiwa,changanya nazakwako.
Kwani wamebadirisha biblia🤔🤔.

Hakuna ambako ni salama 100%
Kote huko Kuna changamoto c uislam,ubudha,ukristo,ushaulingi n.k
Kikubwa ujitambue basi.
 
Tumia Muda mwingi kiwafundisha watoto kujisimamia kiroho. Wafubdishe biblia.

Waanzishie tutions za maandiko.
Watu wengi wamewekeza ktk kuwa peleka watoto holiday, kywanununukua TV games, cartoon etc. Vyote hivyo haviuishi roho Bali vingine vunaiua kabisaa.
Tukiwa omba wachangie Kwenda Easter conference wanaona uzushi, kumbe tunataka kuwa saidia kuwajengea kiroho. Siku itafika mtoto atalaani mzazi kwanini hakumfundisha Imani....

Mimi kwanza lazima kila jion ibada ya saa moja, neno ikiwa ndio sehemu kubwa... Tunajadiliana mpaka unaona limeshazama.

Wazazi nawasihi... Nyakati hizi ni hatari, wajenge wanao ktk kumjua Bwana kabla kisasi cha bwana hakijashuka... 🙏
 
Msimamo wa Papa sio wa wakristu wote.
Sote kwa Imani yetu tunapinga na kukemea tabia ovu ya kishoga na usagaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…