aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
kunawenzenu wanapiga hipapu na singeli huku
Utamu baadaye, jumapili asubuhi ni mida ya upako 😅 tunawaombea pia zile nguvu zenu zisiwapungukie 😂😇Leo ni gospo, hutaki mambo ya utamu sio
Tenzi gani unaipenda zaidi?Japo mimi sio mkristo ila napenda kuimba tenzi za rohon
Ni salama rohoni mwanguTenzi gani unaipenda zaidi?
Nyote mbarikiwe j2 njema
Asante kwa kushare Mangi, ukabarikiwe.Ni salama rohoni mwangu
Nipo na mwamba hapa
Asante, nampenda pia 🙏Bella Kombo pia
Huu hapa wanaimbaa Baba sina tamaa nataka ka IST
View: https://youtu.be/ZISSDY86PoQ?si=nDJcO8d5n-qOj7iR
Wimbo wa kwaya ya RC au siyo huo?Bila kusahau kiiilindi Cha moyo wangu🫢
🙏 🙏 🙏 🙏Utabaki kuwa Mungu-Ado Novemba