Sitanii
JF-Expert Member
- Nov 20, 2024
- 516
- 696
Wewe tena!😂🙌Japo mimi sio mkristo ila napenda kuimba tenzi za rohon
Wewe tena!😂🙌Japo mimi sio mkristo ila napenda kuimba tenzi za rohon
Ebu njoo PM nikupe zawadi ya kiss...😋Swali gumu, ngoja niombe msaada wa kulijibu kwa mzee wangu Ushimen
Ila ninavyofahamu, urembo ni hali ya muonekano wa nje zaidi ambao unaweza kuondoka na mabadiliko ya mwili. Uzuri hujumuisha tabia binafsi, haiba na muonekano pia.