Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #41
🙏 🙏 🙏Ambwene mwasonge nifundishe kuomba
View: https://youtu.be/gm-MwdFfhbw?si=Ml7-_5gyiztaGbYd
🙏 🙏 🙏Ambwene mwasonge nifundishe kuomba
Kila mtu anafurahia kile kinachompendeza, acha waenjoy!kuna wenzenu wanapiga hipapu na singeli huku
🙏 🙏 endelea kubarikiwa mkuu!Angela chibalonza Ebenezer,
Ananibariki na hii nyimbo,
Amina, jumapili njema kwako pia 🙏Nyote mbarikiwe j2 njema
Unaimbaga ukiwa umelewaJapo mimi sio mkristo ila napenda kuimba tenzi za rohon
🙏 🙏 🙏 Asante kwa kushare.Kijito cha utakaso mwimbaji Diana Sarakikya
OkUnaimbaga ukiwa umelewa
🙏 🙏 🙏 🙏
Unanikumbusha kitambo sana huu wimbo.
View: https://youtu.be/uQbLBe6fuSo?si=ACP5GQ0LNSQDufL9
"Utabaki kuwa mungu, Jehova shama
Natupa jicho hospitali, jicho langu lipo magerezani
Siyo wote wa makosa, walitenda makosa eeh,
Wengine walihujumiwa, we warehemu.
Baba cheki na yatima, ona wanavyoteseka
Waangalie na wajane, usiwaache"
Sikua naufahamu, asante kwa kushare!Uwepo wako Bwana uwe nami
By Alka Mbumba DRC
🙏 🙏 🙏 Asante kwa kushare.
Mimi napenda pia version ya wimbo huu ya Beatrice Muhone.
View: https://youtu.be/atWCWwO_Lrg?si=Fq1fnm7qRdCiQmpX
🙏 🙏 🙏Nipo na mwamba hapa
View attachment 3404196
Ni yeye, version yake naipenda sana - inaanza tofauti kidogo ila ni nyimbo ile ile.Beatrice Muhone kumbe naye ana version ya huu wimbo sio? Ndio yule aliimba Habari njema au ni mwingine
Ni yeye, version yake naipenda sana - inaanza tofauti kidogo ila ni nyimbo ile ile.
Isikilize hapa chini
View: https://youtu.be/q5NN9XhPy-Q?si=LS_lm0m8ddRtvK2S
Asante kaka Mshana 🙏 , naupenda sana huu wimbo.