aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
Utamu baadaye, jumapili asubuhi ni mida ya upako π tunawaombea pia zile nguvu zenu zisiwapungukie ππLeo ni gospo, hutaki mambo ya utamu sio
Tenzi gani unaipenda zaidi?Japo mimi sio mkristo ila napenda kuimba tenzi za rohon
Ni salama rohoni mwanguTenzi gani unaipenda zaidi?
Nyote mbarikiwe j2 njema
Asante kwa kushare Mangi, ukabarikiwe.Ni salama rohoni mwangu
Nipo na mwamba hapa
Asante, nampenda pia πBella Kombo pia
Daaahhh π€£ π€£ π€£ nimecheka unavyoanza ila nimeufurahia.Huu hapa wanaimbaa Baba sina tamaa nataka ka IST
View: https://youtu.be/ZISSDY86PoQ?si=nDJcO8d5n-qOj7iR
Wimbo wa kwaya ya RC au siyo huo?Bila kusahau kiiilindi Cha moyo wanguπ«’
"Nimepata Salama" - Asante kwa kushare π
π π π πUtabaki kuwa Mungu-Ado Novemba