Wakristo wenzangu, nyimbo gani za Gospel zinakubariki jumapili ya leo July 13, 2025?

Kuna wimbo wa zamani wa kisabato unaanza hivi:

"Vilio vimeeneau, huzuni nayo yatanda
Kwa ndugu zetu albino, hawana amani
Wawindwa kama wanyama, ......................."

Atakayenipa huu wimbo nitampatia baraka nzito nzito kama zile za akina Abraham, Yakobo, Daudi, Nuhu nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…