Lakini si kweli
Member
- Jun 18, 2025
- 84
- 151
Unanibariki sana huu wimbo. Nakumbuka niliusikiliza siku nzima halafu usiku wake nikaokokaAsante kaka Mshana 🙏 , naupenda sana huu wimbo.
Usikiaye Maombi - Kathy Praise
View: https://youtu.be/GEDlgq-37H8?si=sHdZNTGajdgBrnJF
Vizuri sana 🙏🙏 , alikua muimbaji wangu bora sana mwanzoni mwa miaka ya 2,000Kaimba vizuri hapa.
Huu wimbo alikuwa anaupenda sister alikuwa anafuma vitambaa basi kila nikienda kumuona dukani nakuta anasikiliza huu wimbo mpaka nikaupendaVizuri sana 🙏🙏 , alikua muimbaji wangu bora sana mwanzoni mwa miaka ya 2,000
View: https://youtu.be/2ucsYLDvX1s?si=bLHdor3umVNJ6S7z
Tunamshukuru Mungu kwa huduma ya nyimbo hii na kwa wokovu wako 🙏.Unanibariki sana huu wimbo. Nakumbuka niliusikiliza siku nzima halafu usiku wake nikaokoka
Zote nzuri sana, asante kwa kushare 🙏🏽Wewe ni Mungu haubadiliki ya Rev.Abiud Misholi
Boazi Danken Haufanamishwi
Fanuel Sedekia Manukato
Bulyankulu Ufunuo wake Yohana
Boaz Danken Mimi Nipungue
Safi, DMX aendelee kuRIP 🪦🙏🏽
Upo sahihi kabisa,Swali gumu, ngoja niombe msaada wa kulijibu kwa mzee wangu Ushimen
Ila ninavyofahamu, urembo ni hali ya muonekano wa nje zaidi ambao unaweza kuondoka na mabadiliko ya mwili. Uzuri hujumuisha tabia binafsi, haiba na muonekano pia.
No, sikua nafahamu hilo!Upo sahihi kabisa,
Ila Angela alikuwa mbele kitambo, hivi unajua kanisa la Ebenezer kinondoni ni la mumewe Elisha Mulliri ??
Kaa Nami🙏 🙏 🙏
Ananibariki mimi pia sana.
Yanitosha ni one of my favorite songs.
View: https://youtu.be/5TeyGx4ukz4?si=tNtUWeFoUp22uQZU
Yep siku hz havumi km kipindi Cha nyumaNo, sikua nafahamu hilo!
Nguvu zipo, uko wapi ? 😊 😃 😀Utamu baadaye, jumapili asubuhi ni mida ya upako 😅 tunawaombea pia zile nguvu zenu zisiwapungukie 😂😇
🎶Ahya eeeeeee, ahya eeeeeee🎶Nuru yako imenitoooa gizani😊
Moyo acha kiherehere sukuma damu,
Utamwambia Nini ukimwooona