Sitanii JF-Expert Member Joined Nov 20, 2024 Posts 516 Reaction score 696 Jul 13, 2025 #81 min -me said: Japo mimi sio mkristo ila napenda kuimba tenzi za rohon Click to expand... Wewe tena!ππ
min -me said: Japo mimi sio mkristo ila napenda kuimba tenzi za rohon Click to expand... Wewe tena!ππ
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,788 Reaction score 113,025 Jul 13, 2025 #82 Binti wa zamani said: Swali gumu, ngoja niombe msaada wa kulijibu kwa mzee wangu Ushimen Ila ninavyofahamu, urembo ni hali ya muonekano wa nje zaidi ambao unaweza kuondoka na mabadiliko ya mwili. Uzuri hujumuisha tabia binafsi, haiba na muonekano pia. Click to expand... Ebu njoo PM nikupe zawadi ya kiss...π
Binti wa zamani said: Swali gumu, ngoja niombe msaada wa kulijibu kwa mzee wangu Ushimen Ila ninavyofahamu, urembo ni hali ya muonekano wa nje zaidi ambao unaweza kuondoka na mabadiliko ya mwili. Uzuri hujumuisha tabia binafsi, haiba na muonekano pia. Click to expand... Ebu njoo PM nikupe zawadi ya kiss...π
Sitanii JF-Expert Member Joined Nov 20, 2024 Posts 516 Reaction score 696 Jul 13, 2025 #83 Mshana Jr said: Unanibariki sana huu wimbo. Nakumbuka niliusikiliza siku nzima halafu usiku wake nikaokoka Click to expand... Kwa hiyo Una miaka chini ya 10 ya wokovu Mzee Mshana Jr ?
Mshana Jr said: Unanibariki sana huu wimbo. Nakumbuka niliusikiliza siku nzima halafu usiku wake nikaokoka Click to expand... Kwa hiyo Una miaka chini ya 10 ya wokovu Mzee Mshana Jr ?
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,899 Reaction score 73,370 Aug 16, 2025 #84 Kitimtimu ..