Hayo ni maneno yako na sio SHERIA,naifwata Biblia kama marejeo na sio mtazamo wa mtu binafsi,Mungu hajawai kataza kunywa pombe Bali ulevi, mbona amekataza ulafi pia lakini chakula tunakula? Kama wewe ni muislam sawa Baki na Imani yako na mm nabaki na Imani yangu