Wakubwa wananunua Mechi, Maamuzi ya ajabu

Songambele

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Posts
4,710
Reaction score
2,587
Jana nimeona Mechi ya Azam na Ruvu, kiukweli pasi na shaka Azam na wao wameshakata shauri liwalo na liwe kama wakubwa wengine, kwa udi na uvumba na wao wanataka matokeo sasa. Najua kama ilivyo desturi mtataka ushahidi lakini angalieni hizi mechi zinavyochezeshwa yaani mpaka Refa anayo matokeo mfukoni.

Juzi alicheza Simba, Refa alikuwa mpaka na yeye anashirikiana kushambulia Ihefu, mpaka akatoa tuta ambalo mwenyewe alijishtukia na kulifuta. Yanga wao tayari wameshapata goli Mwanza, la Refa kufunika. Vijana kweli wameshika hatamu lakini lazima tutazame tena.

Tunao TAKUKURU lakini wakiingia kuchunguza hili, mimi nimekaa pale mniite mbwa! Majibu ya kugushi ndiyo huko tunapoenda kushindana kweli tunaanza tena kuweka figisu. Wacheza kamari, wauza madawa ndiyo wanashikilia soka letu na wameweka mikono yao michafu, sasa mpaka tuliyokuwa tunawaona wasafi na wao wanaanza kuchafuka.

Tunajua wenye mamlaka ya soka walivyowabishi na kuna mengi ya dhahiri hawayataki kuyakubali, waamuzi mpaka mmewavilisha 'gadgets' basi wasaidieni kuondosha hizi aibu manake kuna mengine wanafanya wao aibu tunaona sie huku.
 
Msilalamike Acheni tuone jeuri ya pesa
 
Jana nimeona Mechi ya Azam na Ruvu, kiukweli pasi na shaka Azam na wao wameshakata shauri liwalo na liwe kama wakubwa wengine, kwa udi na uvumba na wao wanataka matokeo sasa...
Kwenyehili timu ndogo ndizo zinazoumia, watu wanatumia pesa kusafiri kuja kutafuta alama halafu maamuzi yanakuwa ya kisenge.

Huo ni ufala
 
Hua nashangaa sana mtu anayesifia ligi za ulaya wakati hata huko marefa wanafanya madudu. Epl pep amekua akilalamika kila siku kuhusu waamuzi plus wanasaidiwa na VAR.

Pondea ligi ya bongo kwa vingine but kama hoja yako ni kuhusu marefa inakua daifu.

Byw Azam jana wamebebwa haukua penati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nashangaa Sana ninapowaona watu wamejazana kibanda umiza eti wanaangalia ligi ya bongo, Ni upotevu wa muda tu
Ligi za mbele zenyewe naangaliaga zile mechi kubwa kubwa tuu.... Sembuse hapa bongo.

Wabongo tuna uzwazwa sana.
 
Hadi Simba na yanga waachw kubebwa otherwise bahasha zitatembea
Lambalamba mwaka wameichukua ubingwa walitumia 1b ya 'kulainisha' mambo,hapo kati waliacha,naona wameamua waanze Tena,msimu uliopita Azim dewji alisema ubingwa wanawaachia yanga...kuwaachia kivipi!?..hawachezi,hawakazani!?..au hawatoi bahasha
 
Jana nimeona Mechi ya Azam na Ruvu, kiukweli pasi na shaka Azam na wao wameshakata shauri liwalo na liwe kama wakubwa wengine, kwa udi na uvumba na wao wanataka matokeo sasa. Najua kama ilivyo desturi mtataka ushahidi lakini angalieni hizi mechi zinavyochezeshwa yaani mpaka Refa anayo matokeo mfukoni.

Juzi alicheza Simba, Refa alikuwa mpaka na yeye anashirikiana kushambulia Ihefu, mpaka akatoa tuta ambalo mwenyewe alijishtukia na kulifuta. Yanga wao tayari wameshapata goli Mwanza, la Refa kufunika. Vijana kweli wameshika hatamu lakini lazima tutazame tena.

Tunao TAKUKURU lakini wakiingia kuchunguza hili, mimi nimekaa pale mniite mbwa! Majibu ya kugushi ndiyo huko tunapoenda kushindana kweli tunaanza tena kuweka figisu. Wacheza kamari, wauza madawa ndiyo wanashikilia soka letu na wameweka mikono yao michafu, sasa mpaka tuliyokuwa tunawaona wasafi na wao wanaanza kuchafuka.

Tunajua wenye mamlaka ya soka walivyowabishi na kuna mengi ya dhahiri hawayataki kuyakubali, waamuzi mpaka mmewavilisha 'gadgets' basi wasaidieni kuondosha hizi aibu manake kuna mengine wanafanya wao aibu tunaona sie huku.
Mechi ya Yanga Mwanza ilikuwa na shida gani, wenyeji walipewa tuta wakakosa, watu wengine jamani.
 
Back
Top Bottom