Wakubwa wanaosimamia chaguzi wajue waliapa kwa Qur'an na Biblia- Mwenyezi Mungu hataniwi

Kwa viapo vyao kwa Mola na matendo yao maovu laana itaambatana nao na uzao wao, asema Bwana wa majeshi
 
Hawa wangekuwa wanaanguka baada ya kuapa, watu wengi wangeogopa.
 
Ndio wanaanza kuvunja viapo? Mzee Kibao ameuawa na wanasikia majina ya wahusika yanatajwa, vijana kina Soka wametekwa..waliohusika wanatajwa, wao wako kimya..kuna mengine yapi mabaya zaidi ya haya na wameshindwa kuchukua hatua, wakati familia zinalia???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…