Upo sahihi Mkuu kwa upande wa Singida saivi gunia linauzwa 60k kumbuka kahama, geita na mikoa ya karibu mwezi wa pili wanaanza kuvuna ivyo mahindi kupanda bei nivugumu sana
Kwa mwaka mzima mtu 1 kama unakula ugali tu asubuhi na jion inakubidi uwe na kilo 300 ndani za mahindi so ukizidisha na familia uliyonayo nyumbani Kwako utaelewa inakubidi uwe na Tani ngapi za mahindi kwenye ghala
Na ukizingatia happy singida sahivi wanakusanya Kodi ya mazo kwa speed ya 5G yani wakenya nadhani watakimbilia morogoro kidogo ndo Kuna uwezekano wa kupenya bila kulipia ushuru