NANSOR WA RYMEZ
Member
- Sep 12, 2020
- 32
- 27
Je napenda kuuliza wataalamu humu ndan,kwa mwez wa pili au wa kwanza 2024 yanaweza kupanda??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mvua za El Nino siendelee kuleta mafurika vinginevyo hayawezi kupanda Kwa sababu msimu ndio huu na Mikoa ya Kilimo mvua inanyesha vizuri kabisa.Je napenda kuuliza wataalamu humu ndan,kwa mwez wa pili au wa kwanza 2024 yanaweza kupanda??
Upo sahihi Mkuu kwa upande wa Singida saivi gunia linauzwa 60k kumbuka kahama, geita na mikoa ya karibu mwezi wa pili wanaanza kuvuna ivyo mahindi kupanda bei nivugumu sanaLabda mvua za El Nino siendelee kuleta mafurika vinginevyo hayawezi kupanda Kwa sababu msimu ndio huu na Mikoa ya Kilimo mvua inanyesha vizuri kabisa.
Kama hukuuza wakati bei ziko Juu eti unasubiria yafike 100k imekukata [emoji1787][emoji1787]
Hiyo kawaida sana.Kwa mwaka mzima mtu 1 kama unakula ugali tu asubuhi na jion inakubidi uwe na kilo 300 ndani za mahindi so ukizidisha na familia uliyonayo nyumbani Kwako utaelewa inakubidi uwe na Tani ngapi za mahindi kwenye ghala