Wakulima Jiandaeni Kisaikolojia na Kuporomoka Kwa Bei ya Mahindi Mwaka huu 2023, Kenya Gunia la Mahindi Imeshuka hadi Tsh. 80,000

Wakulima Jiandaeni Kisaikolojia na Kuporomoka Kwa Bei ya Mahindi Mwaka huu 2023, Kenya Gunia la Mahindi Imeshuka hadi Tsh. 80,000

Je napenda kuuliza wataalamu humu ndan,kwa mwez wa pili au wa kwanza 2024 yanaweza kupanda??
Labda mvua za El Nino siendelee kuleta mafurika vinginevyo hayawezi kupanda Kwa sababu msimu ndio huu na Mikoa ya Kilimo mvua inanyesha vizuri kabisa.

Kama hukuuza wakati bei ziko Juu eti unasubiria yafike 100k imekukata 🤣🤣
 
Labda mvua za El Nino siendelee kuleta mafurika vinginevyo hayawezi kupanda Kwa sababu msimu ndio huu na Mikoa ya Kilimo mvua inanyesha vizuri kabisa.

Kama hukuuza wakati bei ziko Juu eti unasubiria yafike 100k imekukata [emoji1787][emoji1787]
Upo sahihi Mkuu kwa upande wa Singida saivi gunia linauzwa 60k kumbuka kahama, geita na mikoa ya karibu mwezi wa pili wanaanza kuvuna ivyo mahindi kupanda bei nivugumu sana
 
Kwa mwaka mzima mtu 1 kama unakula ugali tu asubuhi na jion inakubidi uwe na kilo 300 ndani za mahindi so ukizidisha na familia uliyonayo nyumbani Kwako utaelewa inakubidi uwe na Tani ngapi za mahindi kwenye ghala
Hiyo kawaida sana.
Mbona tumekulia mlo huo,nani alimudu kupika wali enzi hizo zaidi ya familia kadhaa tu tena chrismass?
 
Na ukizingatia happy singida sahivi wanakusanya Kodi ya mazo kwa speed ya 5G yani wakenya nadhani watakimbilia morogoro kidogo ndo Kuna uwezekano wa kupenya bila kulipia ushuru
 
Back
Top Bottom