Pre GE2025 Wakulima na wafugaji kumuunga mkono Rais Samia kwenye uchaguzi mwaka 2025

Pre GE2025 Wakulima na wafugaji kumuunga mkono Rais Samia kwenye uchaguzi mwaka 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
mbegu kutoka 10~12k hadi 16k aise tatizo machawa wengi wanasifia wasichokifanya.
 
Anapendwa na anakukubalika na wengi, bara na visiwani.
Anaahidi anatekeleza.
Anasema na anatenda, matokeo yanaonekana kwa uwazi.

Mbegu bora za mazao na mifugo, mbolea na madawa ya wadudu vinapatikana kwa urahisi na kwa wingi wa kutosha. Mwaka huu wa kilimo ni kutoboa bila mbambamba, ashindwe mvivu tu..
Mavuno ya Mwaka 2024 yatawezesha kumlipia fomu ya urais 2025.

Tunasonga mbele kwa uhakika, Amani na utulivu.
Asanti sana Dr. Samia Suluhu Hassan...


Ningeshangaa kama wasingemuunga mkono Kwa sababu bila Samia saizi wangeshaacha Kilimo
 
• OK, ingawa bado najiuliza, hawa wakulima wamempongeza mda gani 🤔,

• maana nikiangalia Trip nyingi za mama kwa mwaka 2023 ilikuwa ni uarabuni tu.
we uko bize sana mkuu,
hata magazeti huna muda kuyapitia, mitandao ya kijamii ndio kama hivi unagusagusa tu, kwenye vikao vya kijiji na mtaa huji, kwenye viweje vya kahawa hutaki kujoin, taifa kwenye mechi huendagi, huonekani msikitini, kanisani, kwenye ndoa, send off na mazishi utajuaje mambo haya ndruuuugu yangu 🐒

sie ndio tunamilza kulima na kupanda tumemuoa kwenye mbegu za mazao na mifugo, mbolea na madawa ya mimea na mifugo tunaachaje kushukuru na kwendra nae bampa to bampa hadi 2030🐒
 

Attachments

  • IMG_20240106_080727_7.jpg
    IMG_20240106_080727_7.jpg
    457.4 KB · Views: 1
Wafugaji wa wapi maana sio wa ngorongoro waliotaifishwa mifugo yao.
 
Ningeshangaa kama wasingemuunga mkono Kwa sababu bila Samia saizi wangeshaacha Kilimo
Sure,
That's true mkuu,
Mashamba ambayo hayakulimwa 3 yrs ago leo hii yote yamelimwa kila mtu anahitaji shamba saivi na yamekua adimu na bei ni ghali mbaya sana tunahemishika sasa 🐒
 
mbegu kutoka 10~12k hadi 16k aise tatizo machawa wengi wanasifia wasichokifanya.
kwa huku niliko hata ingeuzwa 20k hamna mtu angebabaika ingenuniliwa tu.
Kilimo ni kujipanga na watu walijipanga na kujiandaa tangu mapema sana.

kama ni wa kuvamia utababaika na bei msimu utaisha na hujafanya kitu.....

This time kwa ubora wa mbegu, mbolea na madawa ya wadudu kutoboa ni Lazima 🐒
 
Kumbe una akili, nilikuwekaga group moja na kina kimsboy, jilala, erithrytone, ritz na wanaofanana nao. Hayo majinga wasiwasi wangu siyi waTZ. Tz ni nchi kubwa yenye utajiri wa kila aina, ni budi tujisikie fahari kubwa sana. Tuna ukanda wa bahari zaidi ya KM 1400, ziwa la pili kwa ukubwa duniani liko kwetu, ziwa refu kuliko yote duniani liko kwetu, madini 6a Tanzanite yako Tanzania tu hapa duniani, mbuga wa kwanza kwa uzuri Africa liko kwetu. Mlima mrefu kuliko yote Africa uko kwetu, binadamu wa kwanza duniani alikuwa kwetu, visiwa vizuri sana duniani viko kwetu. Ndg mtanzania ulikuwa unataka nini, kuna majinga ya Kenya humu JF yakijifanya hayajui Kiswahili, Kiingereza chenyewe cha hovyo. Waulize lugha yao ni ipi. Mombasa ni sehemu ya nchi yetu wasipokaa vizuri tutaichukua na ndio mlango wa bahari wanaringa nao. Mombasa ni sehemu ya mkoa wa Tanga.
aise hii ni nini bana unaniunganisha na kunilinganisha na makundi ya majangili ya siasa,

Mi nalima bana saahii🐒
 
Wafugaji wa wapi maana sio wa ngorongoro waliotaifishwa mifugo yao.
I can confirm to you without fear of contradictions, kwamba hayupo mkulima nchi hii atachagua kitu ingine wakati wa uchaguzi zaidi ya CCM na Dr.Samia Suluhu Hassan....
 
Back
Top Bottom